Worthless Degrees From Fake Colleges in the UK

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,078
101
It is about time someone has got into this.
There has been a lot of fake colleges, claiming to be affiliated with well known Universities here in the UK. Basically they promise international students to study at a lower fee, and still obtain a degree from a 'top' university because of affiliation.

What has been happening is, when students arrive here, they realise its a big con. I have seen cases like this, whereby someone in Tanzania asks for advice, you give them advice and suggest good Universities, but because Tanzanians pretend to know much more, they do the opposite, when they get here, they start realising their costly mistakes.

Anyways, for those who can watch BBC-London, there will be an undercover report at 1300Hrs GMT and 1830GMT today. I dont think I will be able to catch it, if someone can, please share what you see. BBC is on it, it was only a matter of time.
 
Sadly, we have quite a few MP's who shamelessly claim and parade "academic credentials" from such outfits; there was a thread on a similar topic somewhere in here.
 
Can somebody provide the link to the old post or name names Colleges versus MPs?

If one lacks integrity in the presentation of academic credentials how can anybody expect the same person to have integrity when it comes to such tempting issues as public funds?
 
It is an open secret that even in reputable Universities, these days, we may get fake graduates.

Other people do their researches and write the papers they present and prepare and coach their defence.

You cannot discover that until you meet the graduates and see the products ot their work,
 
London Capital College Ni Chuo Kilichosajiliwa Au ?
Mkuu Kusajiliwa kwani ishu?? nikisoma tu hilo jina machale tayari. Usibweteke umeona London kwa mbele. Kwanza iko nje nje ya London, huko Eltham, halafu nikiingia kwenye site tayari jina la 'London' wameli-drop. Nimeangalia nimeona director ni mpopo....alarm bells tayari. Kuna mambo wapopo wanaweza na kuna mambo hawawezi, mpopo kukuuzia education ni uongo.
Hizo shule zipo nyingi feki. Kuna shule mbili, moja ya mdosi na moja ya ndugu zetu kule afrika magharibi, katika kuongea nao normal chat, si wakanipa offer eti niwe nafundisha course kwao. Yaani wanitengenezee kabisa curriculum ili watu walambe degree.

Angalia hiyo link niliyoweka, halafu nitaweka part 2 wakiipandish uone utamu zaidi. Jamaa anashikwa na hakataii. Yaani anasema kabisa, mtu mweusi anaona ngozi nyeupe inampatia certificate, basi ni big deal huko kwetu. Lol!! So they get away with it.
 
Vyuo fake vipo kibao sana tena ughaibuni ndio balaa wanawapata sana wanafunzi wa kigeni.

Hii Irish International Univer ngoja niiangalie vizuri
 
kwenye site tayari jina la 'London' wameli-drop. Nimeangalia nimeona director ni mpopo....alarm bells tayari. Kuna mambo wapopo wanaweza na kuna mambo hawawezi, mpopo kukuuzia education ni uongo.
Balaa hiloo....wanaliwa watu hapo
Hizo shule zipo nyingi feki. Kuna shule mbili, moja ya mdosi na moja ya ndugu zetu kule afrika magharibi, katika kuongea nao normal chat, si wakanipa offer eti niwe nafundisha course kwao. Yaani wanitengenezee kabisa curriculum ili watu walambe degree.
Mkuu umeamuaje sasa?
 
Balaa hiloo....wanaliwa watu hapo

Mkuu umeamuaje sasa?

Mmoja nilimwambia I will get back to him. Sijamfuatilia. Mwingine huyu wa recently tu hapa 10/07, yeye alisema 'please before you leave, give me your number and lets keep in touch as my college expands'. Nikamwambia poa, ila nikaishia mitini, na nikawashauri wanafunzi niliokutana nao wale kona.

Story inaendelea hapa;

http://www.bbc.co.uk/london/features/my_london/bogus_education/

Nadhani kuna kideo kadhaa......

Shy, kuna website wametaja yenye list ya Colleges zilizo na genuine/accredited qualifications, nikiisikia nitakubonyeza. But my logic is, kama unalipa £6000 usome ki-college ukoko, kwanini usijipinde uhangaike upate another £2,000 uende proper University?Pesa zingine ziongezee kubeba maboksi if need be.
 
Nzoka, mimi nakushukuru sana kwa thread hii. Kuna offer nimepata ya chuo kijiitacho Birmingham Management Training Institute na ada zao ni chaep kweli na wanakutafutia hadi visa (kwa mijibu ya website yao: www.bmti.co.uk) na nimekuwa nashawishika sana nikajichuklulie MBA lakini naona umenishitua. Naomba tusaidiane; Je, hakuna vyuio accredited vyenye ada nafuu kama alitoitaja Shy?
 
Ibrah, achana na hao. Kwanza nimeenda website yao, link za MBA hazipo, link ya contact haipo....yaani basic things. Kama vitu kama course break-down hamna...unafikiria hao watu wako proffessional vya kutosha kutoa kisomo cha MBA?? More importantly mambo ya Accredition....wamesema under construction. Ila masomo mengine wana course break-down. Hii ina maanisha, wanaweza wakawa wame-specialise katika field zingine, ila kwa tamaa ya pesa na kuona opportunity ndio wanaongezea course zilizo na demand.

Mara nyingi hizi college uchwara, unaweza bahatika na walimu wachache wazuri, ambao ukute wanafanya kazi University, ila wanataka labda wa-compliment mshahara wao...ndio unakuta wanafundisha college hizi. Wanafunzi walio kua wakitegemea waingie shule labda 3 or 4 days, wanajikuta wako darasani 2 days a week. Siku zingine inabidi kubeba maboksi.

Sasa basi, inabidi ujiulize, unataka kuja kusoma au utumie mbinu hii kuingia nchini uangalie mambo mengine? Usinijibu hilo swali.
Maana MBA ni respectable, unaweza ukamaliza MBA ukapata kazi huku. I guarantee you, hutapata kazi ya maana na MBA kutoka college hizo. Unless una bahati gani, network gani, na unajiuza vipi na kisomo hicho.

Ukitaka MBA, kwa bei ya £6000, nadhani mara mia usome UDSM. Kwa UK, labda nenda link hii;
http://www.mba.hobsons.com/service.jsp
Halafu nenda MBA Search link au;
http://www.mba.hobsons.com/mbasearch.jsp
Hapo tafuta Universities za UK.

Accredation; http://accreditation.mbaworld.com/page/accreditedlistall/index.html

Ukishazipata, basi pitia moja moja. Kusema ukweli MBA nyingi ni kama £10,000 kuendelea. Top ones nadhani kama £15,000 hadi £20,000.

Ila katika pitia pitia zako, unaweza kuta za £8,000 nadhani. Kuna zingine ukisha ingia nchini na ukapata nafasi, unaweza negotiate nao fees..au unalipa installments...ukishindwa malizia mwishoni wanashikilia cheti mpaka umalizie kulipa. Katika muda huo, beba maboksi, malizia kulipa....upate cheti chako from University.

Kitu kingine, hizi college, zinatoa visa za miaka miwili. Sasa we fikiria huu mchezo unaweza cheza vipi. Kumbuka University education ni mwaka mmoja.......nadhani umenipata, kama vipi ni-PM. Soma vizuri uelewe nasema nini.

Mkuu, bei inaua, alot of the times cheap can be expensive. Ni sawa upate Nokia Original ya ki-Fini au Nokia feki ya KiChina....?
 
by the way...
University inaweza ikachaji bei juu, lakini haimaanishi ni nzuri zaidi ya inayochaji cheaper. Wakati mwingine kuna ukasumba wa majina......na Uni gani inapata funding zaidi kutoka private companies etc.
 
Nauliza eti jamani kuna chuo chenye contacts zifuatazo hapo chini. Ninataka kusoma online MBA ambayo wanasema itachukua miezi 12 mpaka 16 !!!!??? Je hicho chuo kipo kweli na kinatoa hizo shahada za kweli. Naomba msaada wenu.

Overseas Online Program,
MANAGEMENT INSTITUTE OF CANADA (MIC),
2015 Drummond, #920,
Montreal,
QC,
H3G 1W7 Canada

Mailing address:
PO Box 71,
Succ: B,
Montreal,
QC,
H3B 3J3,
CANADA,

Tel : 1-514 845-9292
Fax : 1-514-845-3628, www.micanada.org Admin@micanada.net
 
Baba Emil ngoja nichimbue data zao nitakujibu baadae.Hivi online Degrees zinakubalika Bongo?
 
.... Ninataka kusoma online MBA ambayo wanasema itachukua miezi 12 mpaka 16....Je hicho chuo kipo kweli na kinatoa hizo shahada za kweli. Naomba msaada wenu.....

Hakuna kitu hapo. We ishia tu, kwani hapo ni kununua Mbuzi kwenye gunia! Labda tu kama unataka kuwatumia ili uende huko, ila kwa kuchukua MBA online utakuwa unajiingiza mjini mwenyewe.
Goodluck
 
Ibrah, achana na hao. Kwanza nimeenda website yao, link za MBA hazipo, link ya contact haipo....yaani basic things. Kama vitu kama course break-down hamna...unafikiria hao watu wako proffessional vya kutosha kutoa kisomo cha MBA?? More importantly mambo ya Accredition....wamesema under construction. Ila masomo mengine wana course break-down. Hii ina maanisha, wanaweza wakawa wame-specialise katika field zingine, ila kwa tamaa ya pesa na kuona opportunity ndio wanaongezea course zilizo na demand.

Mara nyingi hizi college uchwara, unaweza bahatika na walimu wachache wazuri, ambao ukute wanafanya kazi University, ila wanataka labda wa-compliment mshahara wao...ndio unakuta wanafundisha college hizi. Wanafunzi walio kua wakitegemea waingie shule labda 3 or 4 days, wanajikuta wako darasani 2 days a week. Siku zingine inabidi kubeba maboksi.

Sasa basi, inabidi ujiulize, unataka kuja kusoma au utumie mbinu hii kuingia nchini uangalie mambo mengine? Usinijibu hilo swali.
Maana MBA ni respectable, unaweza ukamaliza MBA ukapata kazi huku. I guarantee you, hutapata kazi ya maana na MBA kutoka college hizo. Unless una bahati gani, network gani, na unajiuza vipi na kisomo hicho.

Ukitaka MBA, kwa bei ya £6000, nadhani mara mia usome UDSM. Kwa UK, labda nenda link hii;
http://www.mba.hobsons.com/service.jsp
Halafu nenda MBA Search link au;
http://www.mba.hobsons.com/mbasearch.jsp
Hapo tafuta Universities za UK.

Accredation; http://accreditation.mbaworld.com/page/accreditedlistall/index.html

Ukishazipata, basi pitia moja moja. Kusema ukweli MBA nyingi ni kama £10,000 kuendelea. Top ones nadhani kama £15,000 hadi £20,000.

Ila katika pitia pitia zako, unaweza kuta za £8,000 nadhani. Kuna zingine ukisha ingia nchini na ukapata nafasi, unaweza negotiate nao fees..au unalipa installments...ukishindwa malizia mwishoni wanashikilia cheti mpaka umalizie kulipa. Katika muda huo, beba maboksi, malizia kulipa....upate cheti chako from University.

Kitu kingine, hizi college, zinatoa visa za miaka miwili. Sasa we fikiria huu mchezo unaweza cheza vipi. Kumbuka University education ni mwaka mmoja.......nadhani umenipata, kama vipi ni-PM. Soma vizuri uelewe nasema nini.

Mkuu, bei inaua, alot of the times cheap can be expensive. Ni sawa upate Nokia Original ya ki-Fini au Nokia feki ya KiChina....?

Mkuu Nzoka, asante sana! NAdhani umemaliza yote thanks alot!
 
Kuna hiki Phoenix nacho nina wasiwasi nacho.Mrema nae si alipigwa changa la macho akashona graduation gown kariakoo na cheti katumiwa
 
jamani vipi kuhusu university of nottingham, nimepata offer kujoin nipeni data kabla sijauza mbuzi wangu
University nzuri sana. Labda useme tu department gani unakwenda, but generally ni Uni. safi.
Halafu inafahamika kwa kuwa na ratio kubwa ya wanawake kwa wanaume. Kwahiyo nakuombea masomo mema tu ndugu yangu. Pia wana department moja nzuri sana ya mambo ya madini.

Just to add;
Kuna University Guide hapa;
http://extras.timesonline.co.uk/gug/gooduniversityguide.php
Ranking Ya Nottingham ni nzuri. Ila wakati mwingine University inaweza kuwa na ranking mbovu, lakini department moja ikawa bomba sana. So vizuri ni kutafuta mtu aliye-graduate katima somo lako, then yeye atakuwa anafanya kazi, atajua makampuni yanaheshimu Uni. gani etc etc. Au angalia department unayoenda inajishughulisha na makampuni gani ya binafsi katika mambo ya research. The more research and funding in a department, the better. Hata kama overall ranking ya Uni sio juu sana.
 
Back
Top Bottom