Wakomalie wakupe mpunga wako kisha temana nao mazima
mkuu ikikupendeza na ukiwa na muda naomba unifafaulie hii option ya 3 way handicup sometime naona ina +1, n.k natanguliza shukran zangu za dhati maana dah pasipo kujua option mbalimbali nitaendelea kupigwa na Kanji daily
 
Week Inaanza Vizuri
Screenshot_20200712-233724~2.jpeg
Screenshot_20200712-234325~2.jpeg
 
mkuu ikikupendeza na ukiwa na muda naomba unifafaulie hii option ya 3 way handicup sometime naona ina +1, n.k natanguliza shukran zangu za dhati maana dah pasipo kujua option mbalimbali nitaendelea kupigwa na Kanji daily
Mkuu mimi huwa ni mzito kidogo kieleza.....ntajaribu

Handicap ni kuiongezea magoli au kuipunguzia magoli timu utakayo chagua huku ukitabiri matokeo

Baada game kuisha unachukua matokeo halisi ya game kisha unajumlisha au kutoa zile handcap zako kisha unaangalia na utabiri wako
 
Wakuu kama kunamtu ambae sio muhoga aje ani pm ili tule pesa kwa double chance ya kuua team au kama mtakubali natuma humu humu mikeka sema watu wahoga inshort napata pesa through kuua kwa double chance, mi huwa napgwa mara moja moja kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom