Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,634
- 10,715
Watu wanahitaji Safaricom
Daaaah mwana kapotea sana aisee
Daaaah mwana kapotea sana aisee
Uliza namna bora ya kubetWakuu mwenye correct score...na fixed tips anijuze wakuu muhindi kanifilisi Sana
Mkuu mimi naomba uniambia namna bora ya kubet , i mean option yenye 80% ya kuwinUliza namna bora ya kubet
Vinginevyo utaliwa na wahuni kisha uliwe tena na muhindi
Hakuna hicho kitu unauliza mazee betting sio njia rahisi rahisi ya kupatia pesa
You need to work hard to master this game
Over 0.5 fulltimeMkuu mimi naomba uniambia namna bora ya kubet , i mean option yenye 80% ya kuwin
Hii option inahitaji uwe na mtaji kuanzia 500000 na kuendeleaOver 0.5 fulltime
Nina namba zakoWakuu kuna mtu yeyote ana taarifa za memba Internal
mzee baba mi nishakataga tamaa kabisaMan umencheksha mno asee kumbe ulikuwa unanifatilia mzee baba aya sasa nimerudi twenzetu wote tuzichange upya mzee
Alnasir winMkuu mimi naomba uniambia namna bora ya kubet , i mean option yenye 80% ya kuwin
Iko poaAlnasir win
al tawoon win
Aalsunds win
Esteghlal win
Sepahan win
Servette win
Young boys win or over
mc oran win
Ac Paradou win
Odd Bk win
mungu akipenda kesho asubh nipe matokeo.