Re zaragoza win/dRw
Celtavigo drw 1-1
real s win....
motherwell win

Celta Vigo vs Getafe
Score: 1 - 1
Match Over!!

WALIIIFWATA NA.MAGOLI MAPEMA JUU 1-1
FT

[HASHTAG]#boooooooooooooooooooooooooom[/HASHTAG]
 
Re zaragoza win/dRw
Celtavigo drw 1-1
real s win....
motherwell win

Real zaragoza win or drw
[HASHTAG]#booooooooom[/HASHTAG] celtavigo draw 1-1
[HASHTAG]#booooooooom[/HASHTAG]. Motherwell win [HASHTAG]#boooooooooom[/HASHTAG] wait gg n ov 1.5 real s win/drw
 
WALE WA USIKU HELA YA KUANZIA Mapoo po wenzangu

OV 0.5 HT
OV 1.5 FT
RIVER PLATE
Lanus
Olimpia [HASHTAG]#OV2[/HASHTAG].5/3.5/4 5
[HASHTAG]#stakewife[/HASHTAG]
 
IMG-20170922-WA0000.jpg
 
Wakuu hivi hawa QUMER wa meridian kumbe hawajaacha u-qumer wao bado? Niliwakimbia tangu mwaka juzi kwa sababu ya huu upuuzi wao, naona kuna haja ya kurejea premier jumla. Soon nitafunga hii akaunti yao na kuwasahau kabisa.
upload_2017-9-22_8-0-0.png
 
Wakuu hivi hawa QUMER wa meridian kumbe hawajaacha u-qumer wao bado? Niliwakimbia tangu mwaka juzi kwa sababu ya huu upuuzi wao, naona kuna haja ya kurejea premier jumla. Soon nitafunga hii akaunti yao na kuwasahau kabisa.
View attachment 593344
Mkuu mbona site za betting zipo kibao tu na zinafanya kazi nzuri kuliko hata hao meridian huo sio ukoo hama mkuu mi hata sikumbuki mara ya mwisho kubetia huko meridian aisee
 
Wakuu nimeweka multiple bet kwa MBET kama game 34 hivi nimeunganisha na za kesho kuna ahueni kweli hapo?
 
Mkuu mbona site za betting zipo kibao tu na zinafanya kazi nzuri kuliko hata hao meridian huo sio ukoo hama mkuu mi hata sikumbuki mara ya mwisho kubetia huko meridian aisee
Kweli kabisa mkuu...hawa UMBWA wanaudhi sana. Nataka nichomoe fedha zangu zote nihamie premier jumla...na ili nisije nikajikuta narejea tena, naDELETE akaunti kabisa....mm sipendagi ujinga hata kidogo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hivi hawa QUMER wa meridian kumbe hawajaacha u-qumer wao bado? Niliwakimbia tangu mwaka juzi kwa sababu ya huu upuuzi wao, naona kuna haja ya kurejea premier jumla. Soon nitafunga hii akaunti yao na kuwasahau kabisa.
View attachment 593344

Meridianbet online ni JIPUU ... jamaa hovyo sn hawa. Endless Maintenance & Server Errors !! grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom