Njoo Moro manspaa nije shinyanga mjini
Ivii samahani nmetoka nje ys mada ..ivi 1v ya 28 unaweza ukasomea ualimu ata kwenye vyuo va private
ManispaaKigoma sehemu gani?njoo pm
Idara ganiJamani hakuna anayehitaji mkoa wa Pwani wilaya ya Mafia.
Njoo mwanga halmashauri 0717391502Kwa mwalimu aliyepo Tanga wilaya ya mkinga au Tanga mjini njoo tubadilishane uje halmashauri ya wilaya Arusha DC idara ya elimu msingi.
0717743549
Kama Ni msing nchekmimi nipo mbeya mjini ... nataka wa kubadilishana naye
Nami nataka niende Moro nipo mwanga nisaidie 0717391502Njoo Kilimanjaro nije Morogoro, Contacts; 0766 937439
Nami nataka niende Moro nipo mwanga nisaidie 0717391502
Njoo Bunda Mara nije morogoro sehemu yoyote.