WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mti Mtu

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,470
2,000
mimi nipo elimu secondary..... nipo mbeya mjini..

nataka nije dar .. tuwasiliane please
 

Mpenda kazi

Senior Member
Dec 13, 2013
149
225
Kwa mwalimu aliyepo Tanga wilaya ya mkinga au Tanga mjini njoo tubadilishane uje halmashauri ya wilaya Arusha DC idara ya elimu msingi.
0717743549
 
Top Bottom