WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

D

danfodio

Member
Joined
Dec 2, 2018
Messages
76
Points
125
D

danfodio

Member
Joined Dec 2, 2018
76 125
Habari ndg walim. Njoo mwanza jiji (nyamagana) nije Dar es salaam wilaya yyte. Idara msingi.
 
S

sediz

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
28
Points
95
S

sediz

Member
Joined Dec 17, 2018
28 95
MWALIMU ANAETAKA KUBADILISHANA KUJA MKOA WA NJOMBE WILAYA YA MAKETE SHULE YA SEKONDARI MIMI NIENDE MKOA WOWOTE KATI YA MOROGORO,TANGA,DODOMA,PWANI AU DAR NJOO PM
 
Mti Mtu

Mti Mtu

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Messages
1,520
Points
1,500
Mti Mtu

Mti Mtu

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2011
1,520 1,500
mimi nipo elimu secondary..... nipo mbeya mjini..

nataka nije dar .. tuwasiliane please
 
villagechampion

villagechampion

Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
54
Points
95
villagechampion

villagechampion

Member
Joined Aug 4, 2015
54 95
Jamani wa Shinyanga mjini hamna jamani, mi niko Ubungo dsm nahitaji Shinyanga mjini, idara msingi
 
Mpenda kazi

Mpenda kazi

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Messages
144
Points
225
Mpenda kazi

Mpenda kazi

Senior Member
Joined Dec 13, 2013
144 225
Kwa mwalimu aliyepo Tanga wilaya ya mkinga au Tanga mjini njoo tubadilishane uje halmashauri ya wilaya Arusha DC idara ya elimu msingi.
0717743549
 

Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top