Foxhunters
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 123
- 67
Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. (kwa njia ya kubadilishana kituo cha kazi na mtumishi mwenzangu).
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nahama kwenda halmashauri moja ya mkoa wa Mbeya na huyo mwenzangu anahama kuja halmashauri fulani ya mkoa wa Simiyu.
Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa