Njoo kahama msingi nije Ubungo dsmNjoo Ubungo nije Shinyanga mjini
mjini
Njoo kahama kakola nije ubungoNjoo Ubungo nije Shinyanga mjini
MsingiNjoo kahama kakola nije ubungo
Huo mkoa na hiyo wilaya sahau kupata mtu.Njoo Tabora Wilaya ya Sikonge-Mimi nije NJOMBE, MBEYA, RUVUMA
Aje chalinze akalime tubadilishane 0763227257ni mwalimu wa shule ya msingi au?
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
Nitafute mimiMdogowangu yupo halmashauri ya Iringa, anatafutam2 wa kubadilishana nae aje manispaa ya Dodoma mjini. Aliyetayari ani pm