WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi


Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
975
Likes
1,135
Points
180
Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
975 1,135 180
Wanaotaka kuja biharamulo mtaje maeneo yenu(iwe town) nikipendezwa nayo tubadilishane, idara sekondari
 
NGOGO CHINAVACH

NGOGO CHINAVACH

Verified Member
Joined
Apr 8, 2011
Messages
928
Likes
214
Points
60
NGOGO CHINAVACH

NGOGO CHINAVACH

Verified Member
Joined Apr 8, 2011
928 214 60
uhamisho bado umesitishwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kush moker

kush moker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
200
Likes
71
Points
45
kush moker

kush moker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2016
200 71 45
Anayetaka kuja Dar es salaam! Wilaya ya ubungo! Mie niende Mara serengeti! Ani PM! Idara msingi! Ningeweza kwenda bila ya kubadilishana ila nimeona nimsaidie mwalimu yeyote mhitaji
Nipo mara serengeti kiongozi kama hutojali
No zangu 0629200020 nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,317
Likes
455
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,317 455 180
Nipo Sumbawanga Manispaa, nataka kuhama kwenda baadhi ya mikoa Tanzania, nitajie mkoa uliopo kama unauhitaji wa kuja huku nikipenda ulipo tutabadiliahana, idara elimu msingi, NAHAMA kwa sababu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
366
Likes
173
Points
60
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2016
366 173 60
Mwenye kuja Bunda-Mara, niende Iringa, njombe, mby, morogoro n.k.
 

Forum statistics

Threads 1,272,790
Members 490,159
Posts 30,461,176