Sijaelewa hata hicho kibali kinapatinaje?Habari,
Mods naomba uzi huu msiunganishe popote sababu uzi huu ni matokeo ya kitakachotokea mei mosi.
Nina uhakika kilichotangazwa au kuamliwa na naibu waziri Tamisemi ndugu waitara kuwa hakuna tena uhamisho kwa walimu tena mpaka kwa kibali maalumu,tangazo hilo litabadilishwa tarehe 1/5/2019 na Jpm.
Kilichofanyika na waitara ni mkakati wa kisiasa ili kuwahadaa walimu na ili rais jpm akitengua agizo hilo ashangiliwe na walimu na iwe rahisi kwake kuhutubia na asipate tabu ya shinikizo la nyongeza ya mshahara,katika kada zote kada ya ualimu ndiyo ambayo ina kero nyingi kazini.
Yangu machache.
Swelana.
NjooMwenye kuja Bunda-Mara, niende Iringa, njombe, mby, morogoro n.k.
Sawa,uko idara gani? Mie sekondary.Njoo
Iringa Mufindi nije bunda Mara
Contact;0768659368 WATSAP
ni mwalimu wa shule ya msingi au?Kuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
Mkuu vip simiyu unaenda?Njoo manispaa ya Ubungo nije Shinyanga manispaa idara msingi
HapanaMkuu vip simiyu unaenda?
Nisaidie kupata mwingine... Solar ipo bureHapana
Waitara ameshawaambia kuwa hakuna UHAMISHO.
mkuu sumbawanga vp unaenda?Mkuu vip simiyu unaenda?
Mkuu siyo mimi..namtaftia mke wangu..ahame simiyu aje dar sehem yyte itakuwa poa tu...mkuu sumbawanga vp unaenda?