Abiya mahenge
New Member
- Nov 16, 2018
- 2
- 1
Mimi mwl nipo wilaya ya mbarali mkoani mbeya,..nahitaji mtu wa kubadilishana nae nije dar,iringa au mbeya mjini 0765480111
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Mkuu bado upo Biharamulo? Ninashida kidogo naomba uniPMWa kuja biharamulo niende mbeya town au tanga mjini.
Idara sekondari
Alishapata mtu wa kubadilishana nae mkuu?Njoo Lindi aje Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Singida, Manyara, au Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Ubungo nije Shinyanga mjini
Mkuu ndo mimi hapa maana iyo ID yangu iko bannedMkuu bado upo Biharamulo? Ninashida kidogo naomba uniPM
Njoo mwnza jiji (Nyamagana) nije ubungoNjoo Ubungo nije Shinyanga mjini