Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,213
- 1,077,438
Doh sio mchezo...ila naamini watakaa chini kuyamaliza tu!Bima ya Taifa wamepunguza viwango vya malipo kwa procedures mbalimbali. Hospitali hizi nazo zinadai kuwa malipo hayo ya sasa hayatoshi na watapata hasara. Ndiyo maana wamegomea viwango vipya.
Aisee....kumbe wanateseka hivi na wakimaliza pia wanakuja teseka na bahasha mkononi....Chuo cha... TanzaniaView attachment 2921557
Wenzetu wanatumia ubongo wao vizuri sana. Ila sie waafrica akili zetu nyeusiii kama ngozi zetu.Kambi ya jeshi inayotembea baharini.
Ukifanikiwa kuizamisha unapeleka kilio nchi nzima inakomilikiwa.
View attachment 2921889