Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hayanaga mwongozo!
Doh sio mchezo...ila naamini watakaa chini kuyamaliza tu!Bima ya Taifa wamepunguza viwango vya malipo kwa procedures mbalimbali. Hospitali hizi nazo zinadai kuwa malipo hayo ya sasa hayatoshi na watapata hasara. Ndiyo maana wamegomea viwango vipya.
Huoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]View attachment 2921961
Aisee....kumbe wanateseka hivi na wakimaliza pia wanakuja teseka na bahasha mkononi....Chuo cha... TanzaniaView attachment 2921557