moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,142
- 770,237
Mnafaidi misamaki hapoLamadi kuna machimbo ya misosi safi sana. Hapa ni mwendo wa buku nne tu 😋
View attachment 2921284View attachment 2921285
Mnafaidi misamaki hapoLamadi kuna machimbo ya misosi safi sana. Hapa ni mwendo wa buku nne tu 😋
View attachment 2921284View attachment 2921285
🤣🤣🤣🤣Gari ya kwanza unaweza ukaamka usiku ukaenda kuliangalia nje linaendeleaje kama mgonjwa vile![]()
GearleaverTafadhali msiking'oe kiungo hiki, ni muhimu sana kwa ustawi wa wanandoaView attachment 2921893
Huyu jamaa huwenda amakatwa mshono watu hawajui.
Kauli zake zina utata sana