Wenzetu wanatumia ubongo wao vizuri sana. Ila sie waafrica akili zetu nyeusiii kama ngozi zetu.Kambi ya jeshi inayotembea baharini.
Ukifanikiwa kuizamisha unapeleka kilio nchi nzima inakomilikiwa.
View attachment 2921889
Dah Kalpana ebu njoo utupe ukweli wa mo kuinunua simba
Ndiyo sipendagi vijiwe vya kahawa.
Kuna mtu amepotezwa kinyamama kwa sababu ya kauli za shombo kwenye kijiwe cha kawaha.
Hapa unaweza kuona kama udaku, lakini uhalisia huo.
Aisee uchawi upo
Ni kweli😀
Anakula tomato peke yake?Good morning hii si yangu ni ya Dr Janabi View attachment 2922045
Sahani yake imezibwa na tomato sauce,ngoja nitoe uone mapochopocho anayokulaAnakula tomato peke yake?
Una uhakika hii ni sura ya jujui jiara? Hahahaha
Mtani nimecheka sana..kwahyo siku hizi mnamvizia mpk chobisiSahani yake imezibwa na tomato sauce,ngoja nitoe uone mapochopocho anayokula
Hakika sweetheart...💕💕💕
Huyu popote alipo tupo 😀😀Mtani nimecheka sana..kwahyo siku hizi mnamvizia mpk chobisi
Daah njaa inasaidia sana mtu kuwa creative 😀😀sijasema ni wasukuma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2922004
Usitoe ushauri kwa wapendanao hata wakizinguana, baadaye utaumbuka 😔
Hii C ndiyo jibu sahihi