Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,655
- 698,349
- Thread starter
- #215,561
GearleaverTafadhali msiking'oe kiungo hiki, ni muhimu sana kwa ustawi wa wanandoaView attachment 2921893
GearleaverTafadhali msiking'oe kiungo hiki, ni muhimu sana kwa ustawi wa wanandoaView attachment 2921893
Huyu jamaa huwenda amakatwa mshono watu hawajui.
Kauli zake zina utata sana
Bima ya Taifa wamepunguza viwango vya malipo kwa procedures mbalimbali. Hospitali hizi nazo zinadai kuwa malipo hayo ya sasa hayatoshi na watapata hasara. Ndiyo maana wamegomea viwango vipya.Hali ni tete, hawajalipwa?!