moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 126,325
- 692,984
Ishu ya kweli hiyo mamaHii inshu ni ya kweli jamani,? Kutoka kigoma hadi dar kwa miguu?
Ishu ya kweli hiyo mamaHii inshu ni ya kweli jamani,? Kutoka kigoma hadi dar kwa miguu?
Wanyakyusa wanakuja kwa kasi sana
Angel Nylon😁😁😁hebu "mtag" hapa tumuone!
Kumbe ndio huyu
Wamekosa nini ?
Bila shaka huyo mwanafunzi atashindwa kukokotoa hilo swali na rafiki zake watapigwa risasi tu!Wamekosa nini ?
Si mnataka wenye chura !acha tuwakomeshe😀😀Hatimae nimefanikiwa kupata picha ya rafiki yangu kipenzi financial servicesView attachment 1779568
Hapo naona kituko ni watu wazee wazima kupendana halafu msiambianeMke wangu alisajili line mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua.
Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke.
Nikajibu sina elfu 10 nikampa buku 2
Wakati tumelala, mara paa msg katika simu yangu
"HI MY LOVE".
Kidume nikatoka nje nikaenda toilet, nikaijibu:
"we nani"
MSG: ni mimi Jane Msambwanda".
Kusikia Msambwanda, mshipa wa ubongo ukanicheza.
MIMI: Jane Msambwanda wa wapi tena?"
MSG: Bwana baby nawe,si pale unapokulaga kila siku?"
MIMI: "ooh,kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi?
MSG: "nimepewa na rafiki yako DJ Tipwil, nakupenda sana handsome, sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez juu yako, yaani kila ukija kula, natamani usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nateseka sana mwenzio"
MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mimi nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona huo msambwanda nahisi mzunguko wa damu kubadilika, I love you too honey.
MSG: Basi mpenzi ,nikuombe kitu
MIMI: aah,sema tu
MSG: naomba elfu 50
MIMI: nakutumia sasa ivi"
(NIKATUMA)
MSG: Waaoo asante mume wangu, haya rudi ndani tulale, mi mkeo MAMA KIDUKU hapa
Wanaume sisi ni shida aisee
Ametumia hamira nayo ikamkubaliSi mnataka wenye chura !acha tuwakomeshe😀😀
Waafrika tupo juu sema tunadharau vyakwetuView attachment 1779229
Mshana Jr hebu muone Bujibuji atusaidie elimu kumbe hii kitu UNGO inawezekana ni suala la kumuona Waziri na maprofesa ikaingizwa katika mitaala km wenzetu Nchi jirani
Hatimae nimefanikiwa kupata picha ya rafiki yangu kipenzi financial servicesView attachment 1779568
Yaani hamira imeumusha sehemu moja tu😀😀🙌Ametumia hamira nayo ikamkubali
Hongera zake