Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Lini umenunua mboga wewe? 🤔[emoji23][emoji23]kweli tupu
Kwamba mimi situmii mboga mboga au[emoji16][emoji16]Lini umenunua mboga wewe? [emoji848]
Kutumia na kununua ni vitu viwili tofauti kijana,Kwamba mimi situmii mboga mboga au[emoji16][emoji16]
Siendi sokoni sababu wale wamama kila siku wanapitisha. Napata zangu hapo kadhaa na akiwa anakutafutia chenji inakuwa kama vile moudgulf alivyoonyesha kwenye ile post [emoji2]Kutumia na kununua ni vitu viwili tofauti kijana,
I mean unaendaga kwa maketi?