ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,873
- 15,152
Na tukikukamata lazima ukaupike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na tukikukamata lazima ukaupike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu kwenye mikesha ya Laylatulqadir, msikiti wa Qiblatain KariakooKwema za kwako mpendwa tualikane cha Mtume
Sidhani hata kama anajua kuupika - ule wenyewe kabisa. Utaishia kupikiwa uji mgumu tu.Na tukikukamata lazima ukaupike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivyo vya kushoto huwa vimewaka wakati wote [emoji16][emoji16][emoji16]
Usitumie uvunjaji wa kanuni wa zamani kuhalalisha uvunjaji wa kanuni wa sasa. Idd imekaaje kamanda?
Mtutafsrie sasa ala!عيد المباركا، لعدين منل الفائذين. كل عام وانتم بحير!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2305][emoji2305][emoji2305]Mtutafsrie sasa ala!