Makin
IMG-20210103-WA0030.jpg
 
Mkuu Emiir huwa najiuliza nakosa jibu, hivi inakuwaje "member" awekewe ban na wakati huo huo akawa anaendelea ku "log in".

View attachment 1666205
Teknolojia inaenda kasi kama upepo.
Mods watamtafuta huyo kanungira Karim akatoe maelezo
Inamaana mkuu, wanatumia vipieni au mimi ndo sielewi.
hao Hizo ni avatari tu ameweka hata wewe hiyo uriyoscreenshot icrop then set kama avatar yako itaonekana au utaoneka upo banned
Ila MOD walishatoa onyo kukataza kutumia AVATAR hiyo
so watakura bun halisi muda si muda
 
Hata mimi nilihis ameweka aina hiyo ya avatar

Hivi kwanin tusifikirie kuwa, huyu jamaa hajawa banned ila tuu amechukua avatar ya hyo “banned” akaweka tuu..
Halaf akaendelea na shughuli zake za ku log in...

Hata mimi nilihis ameweka aina hiyo ya avatar
Siyo "avatar" ni ban.

👇👇👇
IMG_20210103_155200_446.jpg
IMG_20210103_155116_589.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom