[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]aiseee!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2 [emoji29]View attachment 1665931
Mkuu Emiir huwa najiuliza nakosa jibu, hivi inakuwaje "member" awekewe ban na wakati huo huo akawa anaendelea ku "log in".[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teknolojia inaenda kasi kama upepo.Mkuu Emiir huwa najiuliza nakosa jibu, hivi inakuwaje "member" awekewe ban na wakati huo huo akawa anaendelea ku "log in".
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1666205
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] yule jamaa wa mwisho upande wa kulia anacheka kimiya kimiya.
Sio kile kilichokua kinagawa ubwabwa[emoji3]
Inamaana mkuu, wanatumia vipieni au mimi ndo sielewi.Teknolojia inaenda kasi kama upepo.
Mods watamtafuta huyo kanungira Karim akatoe maelezo
Sio lazima ujue kila kitu kijana, hata goggle haijui kila kitu. Tuendelee kutafuta noti sisi,Inamaana mkuu, wanatumia vipieni au mimi ndo sielewi.