Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,175
- 45,897
Sasa ndugu, u busy si ndo unaleta mpunga? Ukiwa na mpunga si ndo utajiri wenyewe sasa
ndio mkuu,japo mimi nilikua busy ila siingizi hela yoyote ni ile wazungu wanaita busy for nothing
Sasa ndugu, u busy si ndo unaleta mpunga? Ukiwa na mpunga si ndo utajiri wenyewe sasa
We ndo umeelewa matusi
Ulikuwa unafanya shughuli gani na kwanini. Hutaki kazi za kuiingiza hela?ndio mkuu,japo mimi nilikua busy ila siingizi hela yoyote ni ile wazungu wanaita busy for nothing
Ulikuwa unafanya shughuli gani na kwanini. Hutaki kazi za kuiingiza hela?
ndio mkuu,japo mimi nilikua busy ila siingizi hela yoyote ni ile wazungu wanaita busy for nothing
Wapare wanasema " Mungu huubariki mguu utokao", usijali ipo siku utakuwa busy for something.
Safi Sana kijana, huu ndo uchumi wa kati mambo lazima yawe hivyonilikua nafanya kazi za usafi hapa home, nataka kazi za kuingiza hela ,hakuna mtu ambaye hataki.ndio maana nimeshaanza kuandaa career yangu ambapo nitakuwa nipo busy asubuhi mpaka usiku
Safi Sana kijana, huu ndo uchumi wa kati mambo lazima yawe hivyo
Hii challenge ya kutana na ..... Haichekeshi hata
Mimi ilinichekesha sana ile ya viatukweli
Mimi ilinichekesha sana ile ya viatu
Yeah ...niliielewa sana ileile ilikua nzuri sana,sijui nani alibuni
There is no free lunch in this world. Wazungu hawakukosea
Kwenye Geography ukisikia kitu inaitwa River Streams ndio hiyo Sasa.ahsante mkuu