Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
a6337abc7f7741c699482956ae3bc154.jpg
 
Una wiki 3 kwa mjomba tangu umefika na leo umeenda kung'oa jino na bado una pamba mdomoni ile unarudi unaambiwa "karibu anko familia haikuwa vizuri ila leo ndo mapokezi yako rasmi karibu sana"View attachment 1549823
Haki ya nani napambana hivyo hivyo na jino langu liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom