Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20200827_224809.jpg
 
week mbili zilizopita nilikuwa busy sana nikajikuta nakula slice tatu au nne za mkate nashiba sana alafu njaa nakuja kuhisi jioni hapo nikagundua mtu unakula sana sababu hauna u busy

Sasa ndugu, u busy si ndo unaleta mpunga? Ukiwa na mpunga si ndo utajiri wenyewe sasa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom