[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una wiki 3 kwa mjomba tangu umefika na leo umeenda kung'oa jino na bado una pamba mdomoni ile unarudi unaambiwa "karibu anko familia haikuwa vizuri ila leo ndo mapokezi yako rasmi karibu sana"View attachment 1549823
Yaani hata sielewi imepataje umaarufu hiviHii challenge ya kutana na ..... Haichekeshi hata
Last born mmoja alikuwa anawaomba Kaka Zake wamuonjee pilipili.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Rungwe anayo kazi.
Hii nadhani ilikuwa match ambayo Simba alimkunyuga mtu mbao nne