Mkuu mwala huu magari gani ya cc 1500 kishuka chini yana ushuru mdogo wa tra. Sio gari kununua had kufika bongo 4 to 5million ila kodi ni milion 6 hadi 10
Kuna gari kama Toyota Rush, Toyota IST, Toyota Raum, Toyota Cami, Toyota Vitz, Toyota, Fun Cargo, Passo, Nissan Note, Nissan March, Subaru Impreza, Pajero Mini, Premio, Terrious Kid, n.k
 
Kaka naipenda sana VOLTZ ila sijaiona kwenye orodha yako ya magari mazuri kuyamiliki shida nini
Gari ni nyingi sana boss sio rahisi kuongelea kila gari maana hatutazimaliza. Kwa ufupi Toyota Voltz ni gari nzuri kama Rav 4, ni ngumu na inaweza safari ndefu bila shaka yoyote, ukifananisha na Rav 4 ubaya wa hii ni kwamba iko chini kidogo. Ila inatengenezeka kamaTOyota yoyote, mafuta kawaida, na ni imara pia kwa kiasi chake. Kwa wastani inafika kwa kuanzia 14.5m
 
Mkuu ninatamani kununua RAV4L killtime, ama zilizofuatia toleo hilo, hizo zina sifa gani?
Rav 4 kill Time zilitoka miaka ya 2000 mpaka 2005, ni Toleo la Toyota la muundo
Wa SUV, ambalo ni gumu, rahisi kuhudumia kuanzia matengenezo na mafuta. Zipo zenye injini kubwa ya kawaida ambayo ni Cc 2000 na pia zipo za Cc 1800, zipo zenye 4wheel drive na ambazo hazina. Kwa ujumla ni gari nzuri sana na bei yake imeshuka kutoka 18m mpaka 15.5m
 
PUNGUZO MAALUM KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA MASHIRIKA

Salam kutoka Kimomwe Motors (T)Ltd

Kwa kutambua mchango wenu mkubwa katika kutumikia jamii ya Watanzania, tumeamua kuwaagizia magari Maafsa na Watumishi kutoka taasisi hizo kwa kuwapatia punguzo tunalopewa kutoka kampuni washirika zaidi ya 15 kama Beforward, SBT, Tradecarview n.k, ambapo punguzo hilo halitaathiri Mkataba wako kwetu.

NB:

Gharama zote huoneshwa kwa uwazi kabisa ili mteja alipie kilicho halali.

Ofa hii itadum kuanzia 29/10/2019- 28/01/2020.

Kwa mawasiliano zaidi piga sim namba
+255 746 267740.

9E903E08-75F5-45D0-8AC5-F71479C1D6D1.jpeg
 
TUKUMBUSHANE TOFAUTI YA HUDUMA ZA KIMOMWE MOTORS NA WENGINE

Habari ya mapumziko ndugu?

Tunatofautishwa na waagizaji wengine wa Magari kwa kuwa:-

1. Hatumlipishi mteja ada ya huduma
2. CIF, TRA na hesabu za bandari ni wazi
3. Tunasaini mkataba wa kubeba dhamana
4. Hakuna mabadiliko ya gharama baada ya mkataba
5. Nafasi kubwa ya kupata gari ya low millage na gharama nafuu kutoka washirika wetu zaidi ya 12
6. Dharula ya kwenye meli au Bandari ni jukum letu
7. Ofa: Mafuta, Kubadiri Oil, Usafi, Coupon na Clearing
8. Unaokoa mda na pesa sababu tuna washirika wengi na kazi zote tunakufanyia.

Imetolewa na Idara ya Mauzo na Masoko- 0746267740
 
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu,

Ashukuriwe Mungu muweza wa yote kwa kuwarejesha salama wapiganaji wetu waliorejea na watakaorejea kutoka nchi tofauti kama Jamuhuri ya Africa ya Kati, Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo, Lebanon, Sudan n.k katika Majukumu yao ya kulinda amani.

Kimomwe Motors (T) Ltd kwa mapenzi makubwa na ya dhati kwa ndugu zetu hawa, imeamua kuwaagizia magari kwa ofa maalum ambapo kila atakayefika ofisini kwetu na kuagiza gari atapewa kiasi chote cha punguzo ambacho Kimomwe Motors hupewa na kampuni za nje kwa kila gari inapoagizwa. Mfano, kama tunapata punguzo Dola 300, moja kwa moja Mwanajeshi huyu atapata punguzo la hiyo dola 300 na wakati huo huo hatalipia pesa yoyote ya ziada kwani mchakato mzima hufanyika kwa uwazi kwa kuangazia Gharama ya manunuzi na Usafiri (CIF), Ushuru (TRA), Na Gharama za Bandari.

Kwa maelezo zaidi tembelea Ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa au piga namba 0746 267740
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom