KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
May 17, 2018
303
1,000
HABARI YA MAJUKUMU?

KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.

VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA AKATAYEAGIZA GARI BASI NA WEWE KUWEZA KUPATA ASILIMIA KUMI NA TANO (15%) YA SERVICE CHARGE YA OFISI ITAKAYOLIPWA KWA AJILI YA KAZI YA KUAGIZA GARI JAPAN.

HIYO (15%) UNAWEZA KUIPATA PAPO HAPO AMA KUIPOKEA MWISHO WA MWEZI KWA JUMLA YOTE YA WATEJA ULIOWEZA KUWALETA NA KUAGIZA GARI (MAGARI) NDANI YA MWEZI HUO.

ZAIDI YA HAPO UTAENDELEA KUPATA GAWIO HILO ENDAPO MTEJA HUYOHUYO ATAFURAHIA HUDUMA ZETU NA KURUDI KUAGIZA GARI (MAGARI) KWA AWAMU NYINGINE KATIKA KAMPUNI YETU YA KIMOMWE MOTORS (T) LTD.

Katika tangazo hili, tumeambatanisha nakala ya bei za baadhi ya magari mpaka mteja anapokabidhiwa mkononi.

KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NAMI KWA NO. 0652 876811/ 0754 455865
Email: r.christopher@kimomwemotors.co.tz


Ofisi zetu zipo Magomeni Mapima Mkabala na kituo cha Mwendokasi Jengo la Rubeya ghorofa ya kwanza. Au fika Kilwa Road Mkabala na Chuo cha Uhasibu (TIA) jengo la Masangula ofisi namba 3.
Screenshot_2018-07-25-17-00-19.png
Screenshot_2018-07-25-17-00-30.png
Screenshot_2018-07-25-17-00-43.png
 

Attachments

  • File size
    41.2 KB
    Views
    48

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
May 17, 2018
303
1,000
Habari wanajukwaa?

Jipatie Toyota Harrier ya mwaka 2005 moja kwa moja kutoka Japan. Baada ya malipo gari hii huchukua siku 30-35 kufika hapa Dar es Salaam.

Make: Toyota
Model: Harrier
Year: 2005
Engine Type: 1MZ
Engine Capacity: Cc 3000
Millage: 92,000km
Location: Japan

Kwa maelezo zaidi, fika ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa mkabala na kituo cha Mwendo Kasi ilipo Bank ya DTB, sisi tupo ghorofa ya kwanza. Au piga sim namba 0754 455865.....KIMOMWE MOTORS "okoa pesa, okoa mda"
IMG-20181018-WA0015.jpg
 

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
May 17, 2018
303
1,000
Habari wanajukwaa?

Toyota Coaster ni gari bora na imara kwa biashara za Utalii, Dala Dala, Shule (School Bus), Staff Car, na matumizi mengineyo.

Make: Toyota
Model: Coaster
Year: 1993
Engine Type: 1HZ
Engine Capacity: Cc 4200
Millage: 118,000km
Seat: 29
Fuel: Diesel

Location: Japan
Price: 50,000,000 (Bei hii ni mpaka gari inakufikia mkononi)
PhotoGrid_1539867131773.jpg


Kwa maelezo zaidi, fika ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa mkabala na kituo cha Mwendo Kasi ilipo Bank ya DTB, sisi tupo ghorofa ya kwanza. Au piga sim namba 0754 455865.....KIMOMWE MOTORS "okoa pesa, okoa mda"
 

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,375
2,000
Duuuuh ila gari la mwaka 1993 chief kweli, hii sio screpa mkuu?
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,423
2,000
Duuuuh ila gari la mwaka 1993 chief kweli, hii sio screpa mkuu?
Hakuna kitu kama hicho,magari mengi unayoyaona yametengenezwa miaka 10 iliyopita na bado yanakuwa mapya mfano ni hiyo costa tokea imetengenezwa hadi leo imetembea chini ya km 200000
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom