Mkuu, tumpe mama muda, Samia kaipokea nchi ikiwa imeharibika kimfumo, utawala wa sheria uliwekwa kampuni, Sasa mama anayafufua mambo yote na kuyaboresha
Aliyefariki ni Magufuli tu. Wengine wote wako hai na ndiyo wanaendeleza kilichofanyika, hivyo huwezi kutenganishwa ufisadi wa mwaka juzi na utawala uliopo.