Mi mgeni kwenye mkeka nimecheza dau la buku ten vp nikishinda napata bei gani sichacheza handcap manake hata sijui tofauti..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kitu nimetupia muda sio mrefu
Aisee mikeka inakaribia kuchanika.huyu mcity anafanyaje sasa.
Wakuu,kuna hizi game za jumanne ambazo baadhi yake naona kama zitakuwa ngumu haswa hii ya Liverpool vs Everton na ile ya Soton vs Arsenal..
Mtazamo wenu wadau maana najiandaa kupiga bet yangu ya kwanza maishani.
"Nlikuwepo":bolt:
Ngoma ngumu now days inabidi mkeka uwe mdogo kiaina timu 3-5
wazee naomba nijulishe nn maana ya handcap?
Sent from my blackberry 9810 using jamiiforums
kuchanganya muhimu.
hizo game nakushauri weka gg
hivi kwa mikeka hii nauli ya brazil wordcup itapatikana kweli?