Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,167
- 16,257
Pumzika kubeti ndugu utakufa na pleasure
Dah nimeumia Sana ningetamani nimumeze huyo chizi 😀😀, ila betting bana eti ukiweka 200 nakuendelea unaliwa kichwaKuna watu wana bahati zao, betting ni bahati.View attachment 2937662
Unahasira MdauWakuu Hawa SPORTBET muxmam wanalipa kiasi gani?
Maccabi Haifa jana amemnusuru Kanji na vichapo. Wengi tulimpa direct win. Mkuu una upepo sana. Hongera.Jana haikua siku nzuri, one day yes! View attachment 2938055
😂😂😂😂 mkuu haya ma SRL usipende kuyaweka kwenye mkeka. Ni computer ndio inachezesha kwa hiyo kuliwa nje nje.
Haya ila kama ungetoa bet yako ilikuwa jambo jemaHaya wengine tupumzike Sasa mpaka Alkhamis pesa zifanye mambo mengine
Ukiona SRL kaa mbali kabisa