Hizi odd ndogondogo zinachana sana mikeka
Screenshot_20240310-212742.png
 
Arouca vs Sportingi Lisbon> over 2.5

Marseile vs nantes >full team over 1.5

CaYB berrechid vs Far rabat> away team over 1.5

Ulm 1846 vs sandhausen> hom team over 0.5

Bayer leverkusen vs wolfsburg> home team over 1.5

Frankfurt vs hoffeinham > hom team over 0.5

Lille vs rennes> full time over 1.5

Fenerbahnce vs pendikspor>hom team over 1.5

Spartak moscow vs fakel> 1x

Nec nijmegen vs heerenven > hom team over 0.5

Odds 10 weka hata roho
Nimeruka ruka weeh nikatua kwa spartak ,,,,, nyoko spartak,,,,,
 
Sio rahis kuzikuta kwenye kampun zetu tunazobetia
Huwezi kuzikuta, na ukitaka kubet kwenye hayo makampuni ni hadi uwe na mastercard au visa card, majuzi nilifanya mchakato nikapata visa card ya mpesa, then nikiwa kwenye mchakato wa kudeposit kwenye account nikakutana na kimbembe kwenye ku-verify ID card nilisota siku nzima sikufanikiwa hadi nikaamua ile hela kuirudisha tena kwenye visa yangu
 
Niliufuata nikaweka 5000 cash out inasoma 22000

View attachment 2930700
Vizuri Mdau kwa kuufuata,tupo pamoja

FAR RABAT kule anaongoza goal Moja,na tunasubiria la 2

Then Fiorentina vs Roma,naona Corners over 6.5 so far Dk ya 16 Corners 3,hii inaenda vizuri na Cash out hope imepanda vizuri.Na vile Roma Kaishachapwa mapema basi Corners zitafunguka vizuri mnoo

Acha tuombeane Far rabat na Mwenzie waongeze 1 goal tufunge usiku tumsubirie Messi Asubuhi

Ila fix on target ya kurejesha mtaji ma pesa ya Supu, ikifika Dk 70 au 75 Far rabat hawajaongeza goal basi Cash out ulinde mtaji na hope itakuwa na Faida mara mbili ya Buku 5 Yako.

Ila kama roho ya PAKA kama Yangu,basi acha liende mpaka 90
 
Mkuu mimi mwenyewe sitapeliwi kizembe. Hiyo ni channel/chimbo nililolikuta huko mtandaoni. Na mimi kama mpambanaji sikusita kujiunga kwenye group lake huko telegram, tickets anazotoa mara nyingi ni fixed za correct score na huwa anaweka timu husika na kampuni ambayo hiyo mechi inapatikana kwasabu siyo kila kampuni huweka hizo mechi kwani mara nyingi huwa ni cup za watoto ambazo zinachezwa huko viwanja vya vumbi.

NB hauzi ticket, mechi anaweka free ukitaka unaifuata usipotaka unakausha, mimi siku zote nilikuwa nafuatilia tu ili kuusoma upepo tangu game inaanza hadi inaisha na matokeo yanakuja vilevile. Anyway nilikuja kuuliza kama kuna mdau yupo sambamba na hao jamaa, maana kuna wengine wanapiga mwizi kimyakimya.
Mkuu naomba link kama hutojali
 
Vizuri Mdau kwa kuufuata,tupo pamoja

FAR RABAT kule anaongoza goal Moja,na tunasubiria la 2

Then Fiorentina vs Roma,naona Corners over 6.5 so far Dk ya 16 Corners 3,hii inaenda vizuri na Cash out hope imepanda vizuri.Na vile Roma Kaishachapwa mapema basi Corners zitafunguka vizuri mnoo

Acha tuombeane Far rabat na Mwenzie waongeze 1 goal tufunge usiku tumsubirie Messi Asubuhi

Ila fix on target ya kurejesha mtaji ma pesa ya Supu, ikifika Dk 70 au 75 Far rabat hawajaongeza goal basi Cash out ulinde mtaji na hope itakuwa na Faida mara mbili ya Buku 5 Yako.

Ila kama roho ya PAKA kama Yangu,basi acha liende mpaka 90
Kwa sasa hakuna cash out. Kwa kuwa asubuhi nawahi kibaruani ngona nilale nikiamka asubihi nitachungulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom