Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 773
- 1,691
Kwanza kama habeti , anafuatilia huu Uzi wa Nini?Jamaa ana taarabu nyingi sana hakuna mtoto humu wa kuhitaji ushauri.
Kwanza kama habeti , anafuatilia huu Uzi wa Nini?Jamaa ana taarabu nyingi sana hakuna mtoto humu wa kuhitaji ushauri.
jamaa akishaliwa tu anaanza kutoa magazeti ya Mzee Yusuph utafikiri amelazimishwa kubeti.Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa
kupoza machungu
Ufupi hamjalazimishwa kusoma,l post Zangu,sasa post ni Yangu,kuisoma si ujinga wako mwenyewe?We nae magazeti kila siku. Umeshaeleweka bhana. Kila mtu na akili zake humu.
🤣🤣🤣🤣Hilo gazette linaandikwa baada ya kuliwa😄
kupoza machungu
Amepata Goal Moja kwa yule Winger wao Ghareeb ila Mechi ngum,maana hawa Waarabu wa Emirates Tangu Mechi ya mwanzo walikiwasha.Al Nasr again
AnaongozaLeganes win odd 2•70
Boom.asa kipind anared card alikua na odds 11Leganes win odd 2•70
Bet wonNgoja tuone nitakuza mtaji au la ...tujitahidi kubetia pesa ya kanji huo ndiyo msingi mkuu wa kubeti kiakili na kwa starehe other wise unakuwa mpumbavu View attachment 2932041
kabla hujaanza kubetia hela ya kanji lazima uanze kubetia hela yako mwenyewe na hapo ndio huwa pagumu!Ngoja tuone nitakuza mtaji au la ...tujitahidi kubetia pesa ya kanji huo ndiyo msingi mkuu wa kubeti kiakili na kwa starehe other wise unakuwa mpumbavu View attachment 2932041
Kama ukiweka sh 10000 ikakuwezesha kubetia mikeka ya elfu moja moja jumla ya mikeka 40 ndipo ukapoteza mtaji hapo unskuwa upo kwenye standard bora ya uchezaji ...mimi nina miezi 4 sijaweka pesa na nanunua vocha kwa pesa ya kamari ... kinacho tuponza ni tamaa inayo sababisha mpangilio mbovu wa kubeti bila ya kulinda mitaji au kukuza mitajikabla hujaanza kubetia hela ya kanji lazima uanze kubetia hela yako mwenyewe na hapo ndio huwa pagumu!