Heshima zenu wakubwa!

Huu mkeka una odds 50+ ila ni kwa wale wenye ROHO NGUMU tu ndio watauweza maana kuna GG kama 5 hivi :(
Mimi naubetia kwa faida ya virtual, sio pesa ya bajeti zangu! Kwahiyo zingatia hilo, betia unachoweza.

SportyBet: 4BF8B54
Odds: 50
Stake: Tsh 18,000
Win: Tsh 1,000,000

Beti kwa kiwango chako!
_________________

ANGALIZO!
Kuna watu wanani-DM sana aise, wanauliza natoaga wapi ujasiri wa kubeti, jamani mimi sina huo ujasiri mnaodhania wala roho ngumu, roho ngumu anayo farao aliyemtesa YESU. Mimi huwa nadeposit 50K nabetia virtual at least 5000/10,000 kwa mkeka mmoja, najua nikirudia mara 5 sikosi ata 200K faida, na baada ya hapo sasa ndio natumia hiyo faida kumpasua SportyBet. Ni kama leo huo mkeka hapo juu naubetia kwa faida ya virtual pia, kwahiyo zingatieni hilo maboss zangu!

1709812535341.png

1709812573293.png
 
M

View attachment 2927086

View attachment 2927087
Mechi Tano ni chache screen shot,,, tutembee nazo kwenye makampuni mengine
 
Kuna muda nafakali nabaki kujisonya tu,,,, hivi kweli nyota zetu ni chafu kiasi hiko kwamba vichwa vyote hivi tunakosa mechi nne tu japo tatu au nne za mitaji!!!

Kazi iko
Mechi 4 tu zinapatikana, tatizo wengi wameshazoea matreni... Kwahiyo mtu anakua hakuelewi ukimpa odds 2/3 utakuta kazoea odds kuanzia 100. Ila silaumu, mimi mwenyewe nilianzia kwenye matreni, shida ni kwamba mtu anabaki alipo hataki ku-take risk na kupiga hatua. Unakuta mtu kabetia treni kapata 100K, kesho yake anatoa 90K anaacha 10K abetia treni nyingine 10 !!! Wakati anayo option ya kubetia 40,000 kwa mikeka 2 ya odds zisizozidi 4 na akapata faida nzuri tu. Ishu ni kwamba mtu anataka faida ya mamilioni kwa papo hapo ambayo ni ngumu sana!
 
Kuna muda nafakali nabaki kujisonya tu,,,, hivi kweli nyota zetu ni chafu kiasi hiko kwamba vichwa vyote hivi tunakosa mechi nne tu japo tatu au nne za mitaji!!!

Kazi iko
Hakuna kitu kinachoitwa nyota kwenye kamari....huu ni mchezo wa probability ...tunadhani kuwa itakuwa hivi au vile ila wanaocheza ni wachezaji...na kuna vitu vingi vinaathiri huu mchezo.

Mfano Man City akicheza na timu inayoshika nafasi ya chini katika ligi...asilimia kubwa ya watu hudhani kuwa ataibuka na ushindi ila matokeo yanaweza kuja ya kushangaza ukaona man city kachezea
 
Wkamaria wote smoma hiyooooooooooooooo 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Kumbe mkamaria ukipata ushindi mnene bila kusimamiwa na bodi Kanji atakuachia manyoya? Aisee, hii ni hatari!
1709823134387.png

Halafu jamani muelewe kuwa betting ni burudani tu; sio chanzo cha mapato. So, ukiliwa na Kanji usilie sana ilmradi umeburudika. Starehe gharama ndugu zangu.
1709823854629.png
 
GROUP KUPOA:-

Sio kwamba limepoa,ila legends wapo.Na wanapita wakiangalia tu

Tatizo utoto wenye ujinga Mwingi ulikuwemo humu,sasa watu wanatizama hao watoto Ili walikuwa na kutambua kwamba GREAT THINKERS wanawaona wapuuuuzi then Jukwaa litarudi upya.

Ukichanganya na Utapeli wa vijana wenye akili ndogo wa FB kuvamia huku wakiamini kuna watu wa kupiga.Hili nalo limefanya watu kutuliaa Ili kuwa zoom tu Ili tuone mwisho Wao na njaa zao.

But all members are still on betting duties muda utafika mdogo mdogo Watarudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom