Wakuu habari za mchana,
Hopefully wote tuko poa, tunaumiza vichwa jinsi ya kumpasua mhindi. Sasa kuna jambo moja limenigusa nimeona ngoja nilizungumze hapa. Nafkiri dhima kuu ya muanzilishi wa Uzi huu ilikua ni kushirikishana mawazo na maarifa mbalimbali katika kuweka mikeka ili tuweze kutoboa na nafkiri watu wengi pia wamewahi kufaidika humu kutokana na codes zilizotumwa na wengine humu.
Sasa, kuna tabia ilizuka ya baadhi ya members kuna kwenye Uzi wetu huu na kuleta mambo ya biashara za kuuza codes, ila wameona haitoshi mtu anakufuata kabisa inbox. Eti mkuu, kuna jamaa anauza sure odds laki mbili, unaonaje tukichanga ili tununue? For real? Kweli tumefikia huko? Hivi nitakua mpumbavu kiasi gani eti nitoe pesa kwaajili ya kununua sure odds wakati najua kabisa kwamba betting is probability? Naomba wenye hizi tabia mjiheshimu aisee. Sisi wote nia ni kumuumiza kanji ila wenzetu mmgeuka mnataka kutuumiza sisi wenzenu. Hizo mambo hazifai, wewe kama una source yako unanunua baki nayo huko, sisi tutaendelea kushare codes na insha'Allah one day tutatusua tu, pelekeni upumbavu wenu hukooo kwa washamba wa kubet!
Hakuna sure odds. Asidanganywe mtu.
 
kajichanganya kuedit.

huyu jamaa ni tapeli na channel yake. nilishamshtukia tangu kitambo tu. anakujaga na IDs tofautitofauti kutangaza channel yake ya kitapeli.
Sijaona tatizo mbona, si kaweka over 5.5 total corners, sasa hapo si zimefika 9 Kuna tatizo Gani?
 
kajichanganya kuedit.

huyu jamaa ni tapeli na channel yake. nilishamshtukia tangu kitambo tu. anakujaga na IDs tofautitofauti kutangaza channel yake ya kitapeli.

Heavy

Kuna kakundi FULANI kana IDs Tofauti kameiingia humu kiusanii,yaani wale Mapoyoyo wa FB,sasa wanashindwa kujua JF ni sehem ya GREAT THINKERS

Yaani utoto Mwingi na ujinga Mwingi zaidi

Ndio maana unaona ma LEGEND wametuliaa wanawazoom tu.
 
Sio kwamba mechi zilikua nyingi amecrop
inaweza kuwa sawa. lakini bado huyo jamaa ni tapeli. nilishaichunguza sana channel yake, imekaa kitapeli.

wakati naichunguza, free matches alikuwa hapost, yeye alikuwa anapost won slips tu kutoka kwenye group lake la VIP kutangaza VIP channel yake. kwahiyo ni tapeli.

kaichunguze na wewe channel yake ujionee.
 
inaweza kuwa sawa. lakini bado huyo jamaa ni tapeli. nilishaichunguza sana channel yake, imekaa kitapeli.

wakati naichunguza, free matches alikuwa hapost, yeye alikuwa anapost won slips kutoka kwenye group lake la VIP kutangaza VIP channel yake. kwahiyo ni tapeli.

kaichunguze na wewe channel yake ujionee.
Wanaofanya screenshot ili waaminishe watu kua wanashinda ni matapeli tu

Binadamu tuna hulka ya roho mbaya ndo maana tajiri hawezi kukupa mbinu zake za mafanikio, Nina uhakika mtu angekua kweli anajua pa kupata fixed odds(ambazo kiuhalisia hazipo) basi angekaa kimya na kujipigia hela mwenyewe Wala asingethubutu ku share na watu wengine kamwe
 
Jana pia sikupost mikeka humu nimekula mikeka 6 na kukosa 3 lakini ilikuwa ni odds kati ya 10 na 28 tu ...sijui kwanini nikipost humu jf napata mikosi ya lose hiyo mikeka yote 9 nilichezea sh 2800 tu nimevuna sh 45000View attachment 2925760
 

Attachments

  • Screenshot_20240306-084851_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240306-084851_SportyBet.jpg
    26.1 KB · Views: 6

Similar Discussions

Back
Top Bottom