Wakuu nifundishen kubet maana mi selewi mara gg mara double chance, naombeni mnieleweshe mana manzi yangu anakalamika hela ya kusuka
 
orodha ya uwezekano wa asilimia za kushinda za betting options zinazotumika mara kwa mara kwenye football.

kuproof asilimia hizi, unatakiwa uchore table ya 21x20, yaani table ya vyumba 420. wengi wanafahamu kwamba matokeo ya football ni matatu (win, draw na loose), lakini kiuhalisia matokeo ya football yako 21. ndiyo maana kuprove hizo asilimia unachora table ya 21x20.

over 0.5 = 95%
over 1.5 = 76%
double chance (1X, 12, 2X) = 67%
direct win = 33%
over 2.5 = 43%
under 2.5 = 57%
individual team over 0.5 = 76%
individual team over 1.5 = 38%
win either half = 29%
draw or over 2.5 = 62%
direct win or over 2.5 = 62%
GG or over 2.5 = 57%
draw = 33%
 
Yaani unajua anajiona mjaanja kumbe tangua anajiunga humu watu wanamuona boya FULANI hivi ila watu wanamuacha ajiburudishe nafsi yake maana huo ni Ugonjwa .

Sasa akaona ajiongeze labda anaona humu kuna mazuzuu
Hadi wewe una rohoo hiyoo😂 u take us I take MI ndio mjanja
humu
hutaki
utakuwa
chogaaa
mana
mwanaume
halisi
hawagi
hivyooo
broo
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA ASEC MIMOSA NA SIMBA TAREHE 23 /02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Simba.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba kinyota ni Mizani na Asec mimosa kinyota ni Punda.
Uwiano kinyota timu zote zipo sawa.

HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Asec mimosa ana nyota ya Simba na yule wa Simba ana nyota ya Mshale.

HALI ZA MAKIPA

MAKIPA wa Asec mimosa Wana nyota za Mbuzi isipokuwa mmoja mwenye nyota ya Samaki hivyo Kwa siku hii wapo vizuri Sana.
Kwa upande wa Simba MAKIPA wao Wana nyota za Kaa, Mashuke na n'ge Hivyo Kwa siku hii nyota ya Kaa na n'ge watafaa Sana.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu una Kila dalili ya Sare ya goli 1-1
Au Simba kufungwa goli 2-1

Hivyo timu zote kufunga magoli jibu ni ndiyo

NINI KIFANYIKE

Kikosi Cha Simba kipangwe kulingana na Hali ya nyota Kwa siku hiyo.

Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo.
 
Huku umepotea njia we maku
we umepatia we fala mi nipo humu kabla wewe hujawepo nenda mwanzo mwa hiyi post angalia comment namb 105 mnajifanya wajuaji kumbe mpuuz tu mwanaume unakuwa na tabia za kipuuz yaan mtu hujamkosea kitu hunifaham ushaanza umalaya unajua mi nataka mashoga yan we fala unanifata pm unaleta pigo zako unajua mi nanunua machoko au niweke upuuz wako watu wakuone hebu tuache hayo waambie wadau sababu ya wewe kuni diss? kabla sijaweka hadharan upuuz wako acha ushoga kalio wewe (mtaniwia radh wasoma coment huyu mwamba jana kaja pm kasemaje anataka kufi... So majibu niliyomjibu ndio kaja huku kuleta upuuz, wake] kwa humu ndan na wale wakongwe sizan kama kuna mtu ambae hanifaham tabia zangu na stley yangu ya uwasilishaji comment hapa ndan ila namshangaa huyu jamaa na wenzio kunipanikia kisa kusema nauza odd pasipo kutumia akili na maana gani mtu hunijui hujawai niona lakin unakuja kuni diss broo mi ndio nabii mr pipa uchoko wako huko
 
we umepatia we fala mi nipo humu kabla wewe hujawepo nenda mwanzo mwa hiyi post angalia comment namb 105 mnajifanya wajuaji kumbe mpuuz tu mwanaume unakuwa na tabia za kipuuz yaan mtu hujamkosea kitu hunifaham ushaanza umalaya unajua mi nataka mashoga yan we fala unanifata pm unaleta pigo zako unajua mi nanunua machoko au niweke upuuz wako watu wakuone hebu tuache hayo waambie wadau sababu ya wewe kuni diss? kabla sijaweka hadharan upuuz wako acha ushoga kalio wewe
Hivi mkuu wewe si ni yule tajiri rafiki yake na yule kigogo wa kanda ya ziwa huko ambae ame-park ma-bus ndani?
 
Kazi kwenu wajasiriamali, chagua inayokufaa ukiweza jiongeze. Tukutane saa 6 usiku.

Sportybet
389E4EB
 
Attachments

  • booking_code_EEF3A1.jpg
    booking_code_EEF3A1.jpg
    31.6 KB · Views: 5
UTABIRI WA MECHI KATI YA ASEC MIMOSA NA SIMBA TAREHE 23 /02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Simba.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba kinyota ni Mizani na Asec mimosa kinyota ni Punda.
Uwiano kinyota timu zote zipo sawa.

HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Asec mimosa ana nyota ya Simba na yule wa Simba ana nyota ya Mshale.

HALI ZA MAKIPA

MAKIPA wa Asec mimosa Wana nyota za Mbuzi isipokuwa mmoja mwenye nyota ya Samaki hivyo Kwa siku hii wapo vizuri Sana.
Kwa upande wa Simba MAKIPA wao Wana nyota za Kaa, Mashuke na n'ge Hivyo Kwa siku hii nyota ya Kaa na n'ge watafaa Sana.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu una Kila dalili ya Sare ya goli 1-1
Au Simba kufungwa goli 2-1

Hivyo timu zote kufunga magoli jibu ni ndiyo

NINI KIFANYIKE

Kikosi Cha Simba kipangwe kulingana na Hali ya nyota Kwa siku hiyo.

Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo.
Kwahiyo jua,nyota na mwezi ndio vinacheza uwanjani?
 
we umepatia we fala mi nipo humu kabla wewe hujawepo nenda mwanzo mwa hiyi post angalia comment namb 105 mnajifanya wajuaji kumbe mpuuz tu mwanaume unakuwa na tabia za kipuuz yaan mtu hujamkosea kitu hunifaham ushaanza umalaya unajua mi nataka mashoga yan we fala unanifata pm unaleta pigo zako unajua mi nanunua machoko au niweke upuuz wako watu wakuone hebu tuache hayo waambie wadau sababu ya wewe kuni diss? kabla sijaweka hadharan upuuz wako acha ushoga kalio wewe (mtaniwia radh wasoma coment huyu mwamba jana kaja pm kasemaje anataka kufi... So majibu niliyomjibu ndio kaja huku kuleta upuuz, wake] kwa humu ndan na wale wakongwe sizan kama kuna mtu ambae hanifaham tabia zangu na stley yangu ya uwasilishaji comment hapa ndan ila namshangaa huyu jamaa na wenzio kunipanikia kisa kusema nauza odd pasipo kutumia akili na maana gani mtu hunijui hujawai niona lakin unakuja kuni diss broo mi ndio nabii mr pipa uchoko wako huko
Ona hili jingaaa, maelezo mareeeefu,
Unauza Ods kwa 5000, na nimekushauri hili si jukwaa sahihi kwako, Haya weka ushahidi wa hizo pm nilizokutumia hapa (huna)
Pumbav, hii ni JF, I think you don’t know the meaning of GREAT THINKERS!!!
https://jamii.app/JFUserGuide u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom