WeweLazio vs Bayer over 1.5
PSG vs R. sociedad over 1.5
Leo nimeamua kutoa sadaka mtaa huu
Hao wapuuzi sijui wamefungwa vyuma miguuni.Wewe
😀😀 kanji anakuona ndugu yangu bora ungekaa kimya.Hao wapuuzi sijui wamefungwa vyuma miguuni.
Kipindi Cha pili ni uhakika
Kuna fiorentina kwa kuonyesha ye ni mbabe akapigwa sekunde ya mwsho chuma cha pili,,, alafu wahuni walee wanapiga makofi kuwaaga mashabiki🤣🤣🤣PAOK
Motivation speaker bhana,,,, sa mbona we ulikuwa macho?!Angalizo:-
Kama upo macho usiku huuu kisa KAMARI,aisee jitathmini,muda haukusubiri
Ni ukumbisho tu,weka mkeka,Pumzika kesho Maisha mengine yaendeelee
Bayern Msengee sanaSiku nyingine ya kanji kujikusanyia maokoto ya kutosha.😀
Kwel kabisaMkuu usiamini kila unachosikia
Mdau kulikuwa na options nyingi kwenye hii MechiBayern saiv ni Avarage team, Tuchel amefeli
😅😅😅😅Correct score Lazio 0 vs bayan 1 (0:1 ft)
PSG vs soceadad (0:0 ft)