Wenzangu mmefanikiwa kutoa pesa 1xbet kwa wakala? Mimi nahangaika hapa confirmation code haiji dakika 20 nzima..
 
BET NA USHINDE, TIMU HIZO HAPO Kwa Leo Tarehe 12-2-2024

TANZANIA

(1)Mtibwa sugar vs Ihefu

MECHI hii Mtibwa atashinda

(2)Geita Gold vs Simba

Draw au Simba kushinda

(3)KAGERA sugar vs Singida BS

MECHI hii Singida atashinda

(4)KMC vs Coastal union
MECHI hii itakuwa Draw


SHINDA KIBABE


by magical power
Leo singida anakufa vibaya sana
 
Wenzangu mmefanikiwa kutoa pesa 1xbet kwa wakala? Mimi nahangaika hapa confirmation code haiji dakika 20 nzima..
Lengo la 1xbet kuweka option za simu na kuziondoa ilhali zilikuwa zinafanya kazi vizuri Tu ni ni I?


Mbona ni wapumbavu kwanini wasiamue moja?
 
Almanusura…
IMG_9936.jpeg
 
ila kurud unavyoona inaeza kurudi!!?
Nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia tatizo liko Selcom, kuhusu kurudi wameniambia tuendelee kusubiri au tujaribu payment methods nyingine.

Weke pesa (deposit) kisha unaistake pesa yote kwa odds zinazoanzia 1.1 then unaweza kuwithdraw zote zilizo kwenye account kwa njia hiyo mpya) me nimesajiri ASTROPAY ndio nataka nijaribu now.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Mliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom