Leo singida anakufa vibaya sanaBET NA USHINDE, TIMU HIZO HAPO Kwa Leo Tarehe 12-2-2024
TANZANIA
(1)Mtibwa sugar vs Ihefu
MECHI hii Mtibwa atashinda
(2)Geita Gold vs Simba
Draw au Simba kushinda
(3)KAGERA sugar vs Singida BS
MECHI hii Singida atashinda
(4)KMC vs Coastal union
MECHI hii itakuwa Draw
SHINDA KIBABE
by magical power
Lengo la 1xbet kuweka option za simu na kuziondoa ilhali zilikuwa zinafanya kazi vizuri Tu ni ni I?Wenzangu mmefanikiwa kutoa pesa 1xbet kwa wakala? Mimi nahangaika hapa confirmation code haiji dakika 20 nzima..
Pengine wanataka tutumie mawakala.Lengo la 1xbet kuweka option za simu na kuziondoa ilhali zilikuwa zinafanya kazi vizuri Tu ni ni I?
Mbona ni wapumbavu kwanini wasiamue moja?
Roho inakataa kabisaa kuachana na Uwekezaji katika sekta ya ubashiri wa mpira wa miguu
Kama haumdai mhindi acha tu.Roho inakataa kabisaa kuachana na Uwekezaji katika sekta ya ubashiri wa mpira wa miguu
Ukihitajika utaitwaToka hapaa na meno yako ya kuunguaa
Almanusura…View attachment 2901931
Huu mkeka unatembea kweli..nimeukuta kule mjini X...Almanusura…View attachment 2901931
Lile dude lilikuwa jepes wengi wamebutuaKuna jamaa kapiga kama mil 200 Sportpesa ile super jackpot mechi 13 kati ya zile 17 kachagua zake 13 tu kaweka sijui buku sijui zaidi ya hapo
Nimejaribu kuwasiliana nao wakaniambia tatizo liko Selcom, kuhusu kurudi wameniambia tuendelee kusubiri au tujaribu payment methods nyingine.ila kurud unavyoona inaeza kurudi!!?
Hahaha mzee wa kula kimasihara Fenebache ndio kaharibu mkuu 2:2, zingine zote zienda sawa.Toka hapaa na meno yako ya kuunguaa