XRecorder_Edited_07012024_192925.jpg


Wanaoelewa dnb away no bet hapa inakuwaje
 
Edit Trick 4728CB2


Hapa kwenye hii edit kuna somo kubwa sana tena sana ...ni SOMO LA ALMAS NA DHAHABU
Nilitoe somo au nisilitoe nijibuni nijue kama nibaki nalo au niwamwagie wakamaria mzidi kuwa hatari hadi nchi nyingine waseme mikeka ya watanzania ni Noma sana siyo sasa hivi tunasifu matapeli ya nigeria .

NIAMBIENI KAMA NITOE SOMO
toa somo hilo mkuu.
 
Mkuu hizo options nimeshindwa kuzielewa, hizo timu ulizoziweka ni kwamba zitashinda?
Oky sasa nimeelewa wapi mnakua hamuelewi.

Tafadhali angalia hapo chini nimebadilisha iwe rahisi kuelewa.

Straight Bets only!



Jets Winner (NHL)

Saints Winner (NFL)

Tampa Bay spread -3 《utaikuta hii kwenye handicap home/away》 (NFL)

Eagles over 42 《utaikuta hii kwenye total Over/Under including overtime》 (NFL)

Seahawks Winner(NFL)

Rams over 41 《utaikuta hii kwenye total over/under including overtime》 (NFL)

Bills Winner (NFL)

Kama unaswali uliza tuu karibuni wote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom