ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Mnao Angalia Game Ya JUVE ana Uhakika wa Kushinda?
Utashangaa mechi ya juve inaisha hvo hvo 1 bila
Oky sasa nimeelewa wapi mnakua hamuelewi.Mkuu hizo options nimeshindwa kuzielewa, hizo timu ulizoziweka ni kwamba zitashinda?
uyu famba ..arsenal na shoga ake awapigi corner mbwa hawaWestham tena mara ya pili unanichania wewe sasa hivi nakupa tu ushinde au draw au sijui nikuache tu
Bet WiN
Naona anaondoka na matren mengi ya LeoWakuu mnaoangalia mechi ya Juve kuna comeback?
Mwenzie kapata red card nadhani..comeback itamfaa..Ila maafisa Kamali..achaneni Na Juve nowdays haaminikiNaona anaondoka na matren mengi ya Leo
Betting ni Betting sio businessUkifanya betting kama kamari huwezi ukashinda vizuri kwa muda mrefu!
Ukifanya betting kama biashara unapata nafasi yakupata ushindi mkubwa na kupoteza (loss) kidogo.
Wewe unafanya bet kama biashara au kamari?
Booooooooom, congrats if ulicheza
Kama ujala pesa leo basi ni maamuz tuWeka pesa yote uliyonayo mpe liver win
Odd 3
Hatutaki makelele ya kuwa january ni Ngumu