Subiria Mashabiki wa Arsenal waamke,maana wamelala na funguo za account za watu.

Kama password na account names zilikuwa saved na zinaingia systematically,fanya kama unazitype upya then login uone.
Ikigoma check with Customer Cars

Imegoma kabisa Mkuu nina wasi wasi sana.
 
Hata mimi ndio nimeona shida hapo. Nadhani option ilikuwa sawa na ngumu kumesa hii.
Ni kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
 
Ni kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho

Mkuu mm nilichek game,Refa hakuenda kuangalia yeye kama yeye zaidi ya kufanya mawasiliano tu.
 
Ni kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
Ukibeti hizi option maalum ni vema ukaangalia kabisa mwenyewe maana kuupata ushahidi wakati mwingine inakuwa shida. Mfano umebeti magolikipa wote waguse mpira ndani ya dakika 3 za mwanzo, hapo inabidi uangalie mwenyewe maana hakuna mtazamaji anayekariri na hata kwenye livescore hawaandiki.
Usipoangalia ukiona lost inabidi ukubaliane na matokeo.
 
wengi wanaishi kipumbavu humu, ukiwapa timu wanataka code ukiwapa code wanataka uwaconvertie wakati na wewe una kazi zako ndo maana wengi mikeka hawachambui wanaliwa nyuma na mbele siku ya kwanza ya mwaka mpaka ile ya mwisho ya mwaka ++
Kama uwezekano wakutuma codes tuma tu usiangalie nani atasema nini wala nini humu naamini wote tupo kusaidiana na kushauriana laasivyo tusingekuwepo humu kila mmoja angekuwa kivyake
 
😳😂😂😂😂

Sasa wewe si u Edit?

Mbona Kazi nyeiesi tu,yaani mtu akutengenezea Code anatumia muda na gharama zake za MB then simple tu ku edit nayo Kazi?


Shida inakuja kwamba Bettors wengi sio watu wa Mpira,sasa copy and paste ndio wanachofanya.

Kumlaumu alietuma Code ni sawa na kumlaumu Mzazi wako aliekusomesha then ukashindwa kujiongeza

Code zenye Ukweli kwani huku watu ndio wanacheza mpira huo?Mechi ipo keshokutwa Mie baber leo na Matokeo naweka wakati hata England zinafika na waka Mie sio Refa,Kipa wala Beki

Betting is not easy Guys,sio Sehem ya kutoboa kimaisha kama mnavyodanganya maskani mawazo.

Kama Huna chanzo cha mapato Ili ubeti basi jiandae stresses kukuuwa na kuzeeka mapemaaa
Hapana Kuna wengine wanatuma makusudi kabisa alafu anakuwa nazo nyingine zenye "asilimia kubwa ya kutiki" akiisha shinda ndio wanatuma humu kutamba huo sio uungwana wote humu tupo kusaidiana na sidhani kama kila mmoja wetu anazijua timu zote vizuri kabisa na mpaka ligi zote kwa uhakika, ila tu tupo tunasaidiana na kupeana ushauri ni bora ukaacha kutuma code kuliko kuingiza chaka wenzako makusudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom