Slym9
Member
- Dec 31, 2022
- 12
- 6
😂😂😂😂OK ngoja niweke na kwamara ya kwanza naomba mkeka uchane 😋
zikipita na mimi ntakutafuta aiseeWeka nyumba mbili upate nyumba nne
aek athens ***** zaoLigi ya Greece usiguse ina matokeo ya kikatili
moja analo??Qarabag toa bas goli mbili
moja analo??
Hii bet paka
Leta ile OGMikeka y humu Fake
Naenda sasa ivi sbetHii bet paka
Ingelikuwa sportybet ungeli flex au one cut pesa nje nje
Si uweke ya kwako fundiMikeka y humu Fake sn
Uwe unabet ya kwako ambayo ni OG.Mikeka y humu Fake sn
Jamani game ya alhaly inaonyeshwa channel gan