Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..
Screenshot_20231210-093517.png
 
Attachments

  • Screenshot_20231210-093517.png
    Screenshot_20231210-093517.png
    111.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231210-102352.png
    Screenshot_20231210-102352.png
    37.6 KB · Views: 6
Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
Siku zote mm nasema hakuna bett master ...ila huwa hamuelewi na hiyo mikeka wanayoedit ya kuokoteleza , betting ni bahati tu
 
Ma bro nawapa ushauri Leo hatuwezi shinda hata mia...najua sitoagi odds kazi yangu kupunguza odds ngumu kumeza na kutuma edited ila naona Leo tumepanic, mechi zipo chache Sana na ni ngumu..mitaji imetuisha.. tujitahidi kutengeneza mikeka Bora Kama ya Jana...ukicheki Jana mikeka ilikuwa Bora ila tuliyowaamini dunia nzima ndo wamechana..ila Leo naona odds ngumu kibao mpaka draw etc..la sivyo tusubiri tu safari ngumu ya Tuesday to Thursday...

Najua Nina ngonjera nyingi leo ila codes za leo kuedit hata siwezi coz kila odds naona ngumu kumeza Nikisema niedit mkeka unaisha
 
Simba umekuwa mpole

Shortly wewe ndio imeanza kupanic mapemaaa.

Leo zipo Mechi zaidi ya 15 zenye kuweza kufanya lolote,Acha Bahati itembeee Mda

Hii ni Bahati Nasibu.

Yaani leo kuna watu wamekuwa Mshahara mzimaaaa.Walet zimeraruka vibaya mnoooo

Matumizi ya December yooote yamekatika.

Issue nikwamba Mechi ziliachiwa gape,sasa zile Rebet ndio ziliendelea kutafuta nafsi.
Kuna watu hawajaamka mpaka sasa
 
Hivi ni kwanin? 😆 Naona wengine Wana complain uki share codes tu humu basi ishakua balaa nadra sana kushinda japo naonaga mengine inashinda ila michache sana tena sana

Kwakweli sielewi
Japo betting haina uhakika ila kuna zile code unatuma ukitarajia kupata lakini mambo yanakuwa sio mambo

Huu uzi una gundu

Codes nilizowahi kuweka hapa kati ya 10 zimetiki 4 tu
 
Ma bro nawapa ushauri Leo hatuwezi shinda hata mia...najua sitoagi odds kazi yangu kupunguza odds ngumu kumeza na kutuma edited ila naona Leo tumepanic, mechi zipo chache Sana na ni ngumu..mitaji imetuisha.. tujitahidi kutengeneza mikeka Bora Kama ya Jana...ukicheki Jana mikeka ilikuwa Bora ila tuliyowaamini dunia nzima ndo wamechana..ila Leo naona odds ngumu kibao mpaka draw etc..la sivyo tusubiri tu safari ngumu ya Tuesday to Thursday...

Najua Nina ngonjera nyingi leo ila codes za leo kuedit hata siwezi coz kila odds naona ngumu kumeza Nikisema niedit mkeka unaisha
Ooh mkuu leo tunaenda kinyume na sheria za kanji ni kutwanga tu ma odds atajijua huko,
 
Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330

Oyaa MIDO MISONDO umetapeliwaje hapo?

Mie nampongeza sana jamaa,anatuheshimisha Wanaume na kuwaadabisha wavulana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom