Kama Wewe Sio Muoga Chukua Hii (Odds 11)

Tottenham Hotspur Vs Newcastle United (Over 2.5)

Olympique Lyon Vs Toulouse Fc (Gg)

Vfb Stuttgart Vs Bayer Leverkusen (Gg)

Luton Town Vs Manchester City (Over 2.5)

Fc Lugano Vs Fc Winterthur (Over 2.5)

Atletico Madrid Vs Ud Almeria (1)

Kama Muoga Kama Mimi, Chukua Hii (Odds 2.4)

Tottenham Hotspur Vs Newcastle United (Over 1.5)

Olympique Lyon Vs Toulouse Fc (Over 1.5)

Vfb Stuttgart Vs Bayer Leverkusen (Over 1.5)

Luton Town Vs Manchester City (Over 1.5)

Fc Lugano Vs Fc Winterthur (Over 1.5)

Atletico Madrid Vs Ud Almeria (1X) au (12)
Mkeka mzuri, ila huyo Lyon huwa ni mpuuzi mmoja tu. Ligue1 ukitoa PSG waliobakia usiwaamini.
Huyo Lugani sina comment, sijui hata anascheza ligi gani
 
Attachments

  • IMG-20231101-WA0091.jpg
    IMG-20231101-WA0091.jpg
    40.6 KB · Views: 3
Huu ni uongo, nasema huu ni uongooo umeandika jamaa.
Kama huwa unaweka mkeka huo huo sites tofauti utaona betpawa kwa sasa wanaiba kwenye algorithm yao, unavyoongeza mechi total odds haziongezeki kwa kadri odds za mechi zilivyo.
Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
 
Dah mahaba upofu kweli bet power kuedit mkeka kazi, Mara mkeka ukute settled Mara uukute all in all do your favour
 
Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
Aya mkuu
 
Huwa sipendi itaja kampuni nayopenda betia, ila kwa huu mjadala naomba niitaje. Mimi kwangu best site ya kubetia kwa Tz ni premier bet.

Ndiyo maana nikawa najiuliza ulivyoandika ujumbe wako hapo juu kama ulishawahi survey bet sites zote.

Nimeanza uafisa ubashiri 2016, enzi zile mbet ndiyo ilikuwa bomba zaidi. Nilishaiacha, ila hizi kampuni zote zilizokuwepo na ngeni tokea 2016 nilishazijaribu.
Humu huwa nawashangaa baadhi ya watu wanabetia kampuni zisizo na usajili wala ofisi Tanzania.
Hivyo unavyoisifia betpawa pekee napata mashaka huendi hujafanya study yako vyema au unamaslahi unayoyaficha na betpawa
 
Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.

binafsi nikimwona admin wa group la kubet profile picture yake kaweka vitu vya luxury na mandhari ya kifahari, basi najua huyo ni tapeli wa kutupwa.

siku nyingine usinunue mkeka, hakuna mkeka sure
 
Back
Top Bottom