Code-C31B4DD BETPAWA.

_20231209_151553.JPG
 
Nimeangalia mechi ni nyingi mpaka unachanganyikiwa.... Huo ni mtego


Leo nabet mkeka mmoja tu....panda gari hili tumchangie kanji hela kidogo ya soda

Jumamosi miyeyusho sana

7B71233 BP

Nimeedit EF513C1 Kuna game ya Blackburn nimekuta imeanza kabla sijatupia hela ya soda ya kanji
 
UNADHANI NI KIPI KINAUMA SANA KATI YA HIVI?

1.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda zote unapiga Milioni 10,Zikashinda 18 ukaambiwa U-Cash Out Milioni 9 ukaacha ukajipa moyo timu 2 zilizobaki haziwezi kuchana,mwisho wa siku zikachana na ukakosa hata ile milioni 9.

2.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda unapiga milioni 50,Timu 18 zimeshinda na zikabaki zimu 2,ukaambiwa U-Cash out kwenye hizo timu 18 ambayo ulikuwa unapiga 1.5 milioni,sasa baada ya zile gemu 2 ni kama ukawa uelewi hatimaye ukakeshi out,mwisho wa siku nazo zinashinda na wewe umekwisha kukeshi out!


Kipi hapa kinauma?🤣
 
Ndo vizuri...mi nakuambia ukitoa invigilator wa odds 5 2 1 na nusu ambae angekuwa anashinda more money in sportybet...hamna mtu anashinda hela ya maana tokea betpawa wafanye uhuni...watu wanalazimika kuweka odds kubwa options ngumu ili wapate bonus nzuri afu ni vilio tu kila siku... sporty Kuna hela nzuri, Kuna auto cash out..still they won't understand
Yaani mkuu naamini kabisa unalosema, hata mimi nalazimisha tu kutumia BETPAWA maana option nyingine sina, line nilivyokuwa natumia SPORTYBET imefungiwa maana sipo nchini muda.

Nilimuomba mtu anisajilie awe ananiwekea pesa huko mwisho wa siku nikaona ni michosho tu.

Maana tunatofautiana masaa kwa kiwango kikubwa. Kwa mtu anayeweza kutumia SPORTYBET namshauri kabisa asitumie BETPAWA hawana chochote walichobaki nacho.

Ndio maana naweka CODE na SCREEN SHOT ya mechi ili wanaotumia betting sites zingine watumie hizo team ku create bet slip.

Nawasilisha.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu pesa gani hiyo bhnaaa, mm nafukuzia million mia na ipo siku atanasa tu acha aendelee kuniumiza
Uko sahihi sana Mkuu.

Ndio maana nilitangulia kusema "nashauri"
Ushauri una sifa mbili, kukubaliwa au kuupuuzwa ila kupuuza ukweli itakuumiza sana na utapata huo ugonjwa wa moyo unaosema mwenyewe.

Maana hizo 100,000,000 zikichelewa kuja unaotaabika ni moyo kila siku kwa ajili kusubiri.

All in all keep faith, Mungu awe nawe kwenye mapambano mkuu.
IMG_20231209_075539.jpg


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom