Dakika ya 60 naingia live pale nakuta mechi ya Ligi ya Australia ipo 2-3 halaf naangalia under 6.5 goal ina odd 1.90 si nikaitaman nikajua hapa kanji lazima apasuke hapa..😂 si nikaweka mpunga.. kilichonikutaaaa kweli nimeamini kanji huwa anayajua matokeo si bure mshenzi huyu! Mechi imetoka 4-3 🙌 wanangu bet unachoweza kupoteza leo ningejichanganya nitie mzigo mrefu hapa ningelia na kusaga makende View attachment 2832955
Hii niliipa over over 2.5 imeenda poa. Lakini nilikuwa nawasiwasi sana maana timu za Australia hazieleweki
 
Dakika ya 60 naingia live pale nakuta mechi ya Ligi ya Australia ipo 2-3 halaf naangalia under 6.5 goal ina odd 1.90 si nikaitaman nikajua hapa kanji lazima apasuke hapa.. si nikaweka mpunga.. kilichonikutaaaa kweli nimeamini kanji huwa anayajua matokeo si bure mshenzi huyu! Mechi imetoka 4-3 wanangu bet unachoweza kupoteza leo ningejichanganya nitie mzigo mrefu hapa ningelia na kusaga makende View attachment 2832955
Uliweka bei Gani ili nasisi tujifunze
 
Naomba msaada jamani nifanyeje ili nilipwe hela hii , nina mkosi gani

hivi na wenzangu hii onawatokea kucheweshewa View attachment 2832634
Mkuu fanya kuwafuata Telegram watumie screenshot ya mkeka na maelezo utalipwa haraka. Hizi kampuni wakati mwingine zina changamoto ya mtandao. Mfano angalia mimi tangu jana sijalipwa pesa, na mechi zote zimekubali. Nimesubiri tu na sijawatafuta naamini watalipa na sio Betpawa.
IMG_20231204_083229.jpg


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Wadau kuna baadhi ya maneno huwa yanazungumzwa sana mitaani; mara huwezi kutusua maisha kwa kubashiri, aloo mi nikisikia story kama hizo huwa naona kama wananichekesha na kuwaelewa ni ngumu, naona ni sawa wanampigia mbuzi gitaaa.

Nirudi kwenye point sasa, watu wengi wanabashiri kwa kukurupuka bila kufuatilia mambo ya msingi halafu mambo mepesi kabisa, wewe kama leo umefanikiwa kusoma huu uzi bhasi juaa Umasikini kwako mwisho, kama upo nyumba ya kupanga bhasi nikwambie tuu muda mchache toka sasa unaanza kupeleka matofari site yako

Kitu watu hawajui ni kuwa Kubet ni starehe ambayo inakupa pesa pia, chukua chai yako ya moto hapo pooza koo alafu endelea kufwatilia uzi huu,Tatizo la watu wengi wanajua kubashiri ni katika mchezo wa mpira wa miguu pekee, hapo sasa ndio shida ilipo ila amini kuna #michezo ya kubashiri ukiachana na mpira wa miguu ambayo kupiga pesa ni kugusa tuu, nasemaje kupiga pesa ni kugusa tuu, ishi na watu vizuri tuu

Twende sawa, kuna michezo inaitwa michezo ya #vikaragosi ila kwa lugha ya wenzetu wanaita Virtual Game, sasa utamu wa michezo hii mechi ya dakika 90 unao uwezo ukabishiri kwa dakika 2 na ukapata matokeo yako mapema, kwahiyo ndani ya dakika 90 unao uwezo wa kucheza michezo 45, sasa fikiria katika michezo 45 kweli unakosaje yotee, haya sawa tuna assume haupendi #mpira kuna michezo ya mashindano ya farasi ambayo pia ndani ya dakika 2 tuu pia unapata matokeo yako, hatujaishia hapo kuna mashindano ya magari na michezo mingine kibao na unabashiri kwa 200 tuu, pesa ya kipande cha tikiti tuu

Haya achana na michezo ya vikaragosi bado kuna michezo ya #casino na #slots, iyo slots isikuchangachanye, hiyo ndio michezo ya #madubwi sasa tofauti yake ni kuwa wewe unacheza mtandaoni, na yenyewe ni rahisi sana kushinda sababu wewe kazi yako ni kubonyeza na kuweka dau na kuvuna tuu, kinacho hitajika tuu ni kufungua moyo, amini kadri unavyo cheza maranyingi ndio kadri unajitengenezea bahati

Mimi leo nimekupa hizo mbinu za kujaribu kubashiri michezo mingine pia ili uweze kuenjoi kubet, uache kukaa vijiweni kulalamika lalamika ooh kubet hivi mara vile, ila sasa sikia la mwisho hiyo michezo sio kila kampuni ya kubashiri inayo kwahiyo mi leo nakupa mbinu ya kivita mapema kuna jamaa wanaitwa sokabet, mwanzo nilikuwa nawachukulia poa sababu nilikuwa nawaangalia juu juu ila sasa itoshe kusema kampuni pekee ambayo na uhakika nayo ina michezo mingi iyo ya casino na vikaragosi basi ni hao wajomba sokabet, Niwape maua yao mapema tuu

Uzi unao kuja weka notification wazi sababu ukisoma huo uzi amini kama upo nyumba ya kupanga bhasi mapema utaanza peleka tofari site kwako, namaanisha pesa kwako litakuwa swala la kugusa tuu, Nilikuwepo Wakuu
Ujinga mtupu
 
Dakika ya 60 naingia live pale nakuta mechi ya Ligi ya Australia ipo 2-3 halaf naangalia under 6.5 goal ina odd 1.90 si nikaitaman nikajua hapa kanji lazima apasuke hapa.. si nikaweka mpunga.. kilichonikutaaaa kweli nimeamini kanji huwa anayajua matokeo si bure mshenzi huyu! Mechi imetoka 4-3 wanangu bet unachoweza kupoteza leo ningejichanganya nitie mzigo mrefu hapa ningelia na kusaga makende View attachment 2832955
Huu mtego mbona ulikuwa wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom