Nimechambua mechi nimeona nitembee na magoli tu.

Mambo ya Double chance na dc ni ushubwada tu kudadekii.

Leo Kuna mechi nyingi sana kila nikichambua naona nashinda kabisa aisee.

Cha ajabu nimetafuta odds tatu nitie laki nimekosa Ila nimeweza kutengeneza odds elfu 1000+

Haya twende hapa.

Betpawa 5CF172F
Odds 1000+

MUNGU WA KANJI NI MUNGU WETU SOTE
F75FD22 edited
 
IMG_3578.jpg

Pesa hii apa 100 odds
 
Twende pamoja na hii treni ya asubuhi asubuhi safari ilianza Jana ila si mbaya mkandandia njiani nauli ni kuanzia 500 alafu usiluhusu kufika mwisho we komea njiani (cash out)
Kampuni sportybet
Code 3864AAD
Asubuhi njema
Hii ndio yenyewe, Tafuta pesa nyingi zaidi. Mfano mimi imesoma milion 85. Akinipa Cashout ya milion 30 nachukua.

Sitafuti milion 2 maana nnazo, natafuta pesa ambazo sina na nikizipata nitaacha kubet. Sitaki kuwa kama PDiddy. Ana mwaka wa nane anatoa Tips kali ila hajawahi kubutua hata milion 50 kwa mkupuo. Anazingua.

Show inaanza sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom