KUna siku nilikuwa nalinganisha odds za mkeka sawa kati ya betpawa na premier bet, kiufupi betpawa wanaiba kwa kutumia akili zile total odds. Odds ya mwisho kwa mechi zote ilikuwa ndogo sana kwa betpawa ukilinganisha na premier bet, licha ya kuwa betpawa wametoa tena 50% bonus na odds za kila mechi hazitofautiani sana.
Nikajua tayari AI ipo kazini, wanawaibia na kuwadanganya wachezaji.
Hivi Hadi Leo mnabetia Hawa wizi wa betpawa
 
Ilihitaji akili kubwa sana na bahati kuruku viunzi vya, sweden, nigeria, argentina na brasil
Screenshot_20231117-000243.png
 
Biashara umezokimbia ni Halali na Zina Upako wa MUNGU

Huku wenzio tunashetani na tunapambana kishetani.

Ndugu Yangu,Mchezo wa KAMARI sio ajira ya Kukuria,achana na hizo Story za vijiwe njaa vya waliokata tamaa ya Maisha Kazi kusifia tuuu wasioviona.

KAMARI unapoteza utu wa Mtu,inadhalilisha,unapoteza uwezo wa kufikiri,unapoteza uwezo wa kumbukumbu kwa Kazi mnooo

Mbaya zaidi umeenda mpaka kupoteza Nguvu za Kiume,yaani Mkeka ukichanika Muhindi Hali pesa Yako peke yake anakula mpaka na nyege zetu.Na siku ukimla Kanji basi unamla mpaka na nyege zake unakua full mkongo.
Watu kibao wamekatisha miadi ya dem kwa kuchanika mkeka.

Nakushauri achaa,endelea na Biashara huko huko.
Tumekuwa mpaka tunatapeliana sie kwa sie humuhumu,uongoo

Tuliomo humu usione tu tunachat,ILA tunasiri nzito mnoo mioyoni mwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom