Machoko ni mengi siku izi timu una ipa over 1.5 dk ya 6 yana fungana 1 afu yana tulia adi match ina isha ivyo ivyo .
huo usenge upo hadi kwenye basketball na michezo mingine tofauti na football.

utakuta umeomba over 99.5. dakika za mwanzo wanafungana kwa kasi kweli, mpaka unasema "yes, hapa tayari, magoli machache yaliyobaki yatatimia tu, dakika bado nyingi sana". wakifika magoli 90 wanaanza kutegeana kufunga, mpaka game inaisha matokeo ni 97. utafikiri wanatumwa vile!!
 
kama Team imebaki hiyo moja ni Ku cover tu , Ukiweka Over 2.5 second half itakuwa na odds kama 3.5 mpaka 3.9 ukiweka 10,000 inakuja 35000 kwahyo ikitoa umekula hyo 7 ikiliwa unakuwa umekula uliyo cover, Always team ikibaki 1 ,kuliko ku cash out Bora uka cover utakavyoweza
hapa wengi hatujaelewa.
 
Tujaribu tena
Screenshot_20231111-211045.jpg
 
hapa wengi hatujaelewa.
Mfano una mkeka ambao una Team 10 , alafu zikitoa inakuja milioni 1 zikiwin, kati ya team 10 zikitoa 9 ikiwa imebaki team 1 katika mkeka lazima muhindi atakuletea laki 4 tu ili uiache ule milioni 1 ili uliwe , Sasa kama imebaki gemu ya kesho mfano liver na brentford na wewe ulimpa Liver 1x na unajua huhakika kutoa.
Basi unatafuta hela ya ku cover na unampa Brentford mfano kwa kesho ana odds 6 , Ukiweka laki na hamsini tu kwa team 1 brenford ashinde utapata laki 9 , so utakuwa na mikeka miwili , Mmoja akishinda liver unakula hiyo Milioni na Akipigwa unakula laki 9 ambayo ukitoa 150,000 unapata faida 750,000 tofauti na CASHOUT angekupa laki 4
 
PERFECT PERFECT PERFECT PERFECT
Wewe peke yako ndiyo una Akili timamu humu umeweza kujua cha kufanya hapo hupo sahihi kabisa ila unaona ninavyo shambuliwa bure hapa bila ya sababu watu wananiona mjinga ..kuna tukio lilitokea hapa jf mtu alipewa cash out ya mamilioni watu walishindwa kumpa njia sahihi ya kufanya matokeo yake alipoteza pesa yote

Upo sahihi sana ...watu humu uwezo wao wa kufikili ni mdogo mno
kama Team imebaki hiyo moja ni Ku cover tu , Ukiweka Over 2.5 second half itakuwa na odds kama 3.5 mpaka 3.9 ukiweka 10,000 inakuja 35000 kwahyo ikitoa umekula hyo 7 ikiliwa unakuwa umekula uliyo cover, Always team ikibaki 1 ,kuliko ku cash out Bora uka cover utakavyoweza
Uchira 1 @Joanah jamaa ZagaZagarino kajua nini ninacho sema msomeni hapo
 
Arabia bin saudi ni Al nassr tu, akifatiwa na al hilal kwa machale

Wengine ni matapeli hasa kina benzema
 
Mfano una mkeka ambao una Team 10 , alafu zikitoa inakuja milioni 1 zikiwin, kati ya team 10 zikitoa 9 ikiwa imebaki team 1 katika mkeka lazima muhindi atakuletea laki 4 tu ili uiache ule milioni 1 ili uliwe , Sasa kama imebaki gemu ya kesho mfano liver na brentford na wewe ulimpa Liver 1x na unajua huhakika kutoa.
Basi unatafuta hela ya ku cover na unampa Brentford mfano kwa kesho ana odds 6 , Ukiweka laki na hamsini tu kwa team 1 brenford ashinde utapata laki 9 , so utakuwa na mikeka miwili , Mmoja akishinda liver unakula hiyo Milioni na Akipigwa unakula laki 9 ambayo ukitoa 150,000 unapata faida 750,000 tofauti na CASHOUT angekupa laki 4
Akili kubwa, ni kama arbitrage flani hivi au sio?
 
asante sana mkuu, umeeleweka.

duh!, hii ni akili kubwa. wenzetu mnatoa wapi mbinu kama hizi?, nina imani kuna mbinu zaidi ya hii, ndiyo maana wenzetu mnajiamini mnaongea kwa uhakika na kujitamba. kama kuna mbinu zaidi ya hii, basi wenzetu mnaendesha maisha vizuri kabisa kupitia betting.

kuna mbinu nyingine iliwahi kutolewa nafikiri na mr pipa, alisema kwamba kwa mfano kuna mechi ya team A vs. team B. team A kapewa 2.3 odds, na team B kapewa 3 odds. akasema ili uwe na uhakika wa faida, weka mikeka miwili, wa kwanza unaipa team A, wa pili team B, hapo akifungwa mmoja, maana yake una faida. changamoto ya mbinu hii kama team zikitoka draw.
 
Ndugu kuna somo hapo kubwa sana haitakiwi ku cash out na nilazima unakula hata matokeo yawe vipi kuna kitu ukifanya kwenya hiyo step unakula hata kanji afanye mbinu gani ni sure kabisa 100%

Litoe hapa hadharan kila mtu asome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom